Dah asee hyo condition hata mimi naipitia ila nnapo jua flan ananichukia na hakuna sbb yyte Sina ugomv nae hanidai namuepuka huyo ni adui ..maisha yangu ni Siri mambo yangu binfsi hasa maendeleo najua mwenyewe tu mimi c muongeaji hasa kuhusu suala la maendeleo yangu binafsi nikiwa kazini.Watu...
Ikoje kisheria endapo mume akachukua mikopo benk akajenga halafu mkatengana kwenye mgao nyumba inatakiwa kuuzwa wakati huo makato ya benk wanakata kwenye salary ss hapo Bora nyumba iuzwe. Tulipe den la bank au mmoja aumie na makato
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.