Recent content by babrao

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Msaada wa kuangaliziwa JUSTIN F. MBOYA juna la shule ni Heri Secondary
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Rombo tumeongea na Wanahabari, Tutachukua hatua kali dhidi ya Mkuu wa Wilaya

    Hivi inawezekana kwamba hilo tatizo la ulevi wa kupindukia hadi kushindwa kutekeleza wajibu nyumbani ni la watu wote wa Wilaya ya Rombo au ni kwa baadhi yao tu? Maana kauli ya DC inamaanisha ni wanaume wote wa Rombo. Inawezekana kweli ikawa ni wote?
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

    Kwani ilipoamua kuchagua kumuoa mkeo dhidi ya huyo "ex" haukuwa uamuzi wa dhati? Mbona sasa huoneshi msimamo? Ni wazi huyo "ex" ameshakuona unayumba na amepania kukuvurugia ndoa yako. Sasa we nenda Korea halafu utaona matokeo yake.
  4. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Brigedia Jen. Mstaafu Hashim Mbita, amefariki Dunia

    RIP Brig. Gen l. Mbita
Back
Top Bottom