Recent content by Babluu

  1. Babluu

    Sekondari za Vipaji maalum takribani miaka 40 tangu kuanzishwa kwake umaalum wake uko kwenye nini? Hatuoni ubunifu wowote

    Zote ni njia za kutafuta hela sio u maalum wa pekee tu. Tunategemea mwanafunzi akishajifunza katika shule hizo anakuwa bora zaidi katika masomo ya amali na vilevile tunapata madaktari bingwa ambao ni wepesi kuelewa katika masomo yao.
  2. Babluu

    PreGE2025 CCM waanza kuzalisha bidhaa zinazomnadi Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu

    Hii ni ubunifu kuonyesha kwamba serikali inajali watu wake. Sina upinzani nao wabuni? Kwani kuna mtu kawazuia kufanya? Mimi nadhani tu wa mtu mwenyewe na sio kwamba nirushwa.
  3. Babluu

    Miliki Drone yako sasa

    Tununue ni nzuri sana
  4. Babluu

    Miliki Drone yako sasa

    Mimi ninayo DJI min 3pro mbona natumia tu hakuna kuzuiwa ,ila tu inaomba kuruka kutoka kiwanja cha ndege cha karibu una confirm
  5. Babluu

    Msaada wa dawa ya fungus kwenye vidole vya miguu

    Chukua maji ya vuguvugu weka chumvi kidogo posha halafu mpaka limao siku tatu nyingi
  6. Babluu

    Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    Waliosoma mpaka form six wanafahamu namna gani taifa la israeli liliundwa kwa msaada mkubwa wa mataifa ya magharibi. Palestine zamani ilikaliwa na uingereza na hivyo basi kabla ya hapo kuna mikataba lukuki ilifanyika ili kuboresha namna ya kuhalalisha ukaliwaji wa wa palestine dhidi ya taifa...
  7. Babluu

    Jeshi la IDF laagiza wakazi vijiji 22 kuhama mara moja makazi yao Lebanon kusini

    Wewe ni mtanzania kuwa mzalendo wa nchi yako.Siyo taifa mbadala au una uraia pacha? Isitoshe vita haina macho siyo ya kuunga mkono ovyo ovyo bila kujua chanzo na sababu za mapigano .Unga mkono maridhiano mezani siyo kuomba Mungu abariki mauaji yanayoendelea huko nchi za nje.UMOJA WA MATAIFA...
  8. Babluu

    Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

    Hongera zao kwa wingi wao. Inaonekana wananchi wana mwitikio mkubwa sana huko.
  9. Babluu

    Holy Redemption: Makala ya mpango mzima wa wizi unaofanywa na Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Katika mwezi na november 1917 ya uingereza ilifanya kioja cha ajabu ingereza ilikuwa kinara katika secular world wide yaani elimu mseto alitenganisha dini na siasa walipitisha azimio la balfur mbili mwezi wa kumi na moja elfu moja mia tisa kumi na saba serikali hii azimia kuanzisha taifa la...
  10. Babluu

    PreGE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

    Mama mwadilifu sana,🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Back
Top Bottom