Recent content by babkaju3

  1. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia internet bure bila kuwa na bundle

    Iyo nimeikuta humu jamii na kuna sehemu nimemkuta mtu anatumia hii kwa naomba mwenye kujua na mm anifundishe namna ya kuunganisha
  2. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia internet bure bila kuwa na bundle

    Habari za muda huu wana jamii naomba kwa anae fahamu namna ya kutumia internet bure bila kutumia bundle anipatie na mimi ni seleleke kama wenzangu natumia airtel....
  3. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    NAOMBA KUFAHAMU ENGINE OIL YA KILOMETA 5000 AU 9000 NAWEZA KUIJUAJE NA WAPI WAMEANDIKA HAYO MAELEZO MAANA NIMESHA TUMBUA MACHO KWENYE MAELEZO YA KWENYE GARONI LAKIN SIJAONA
  4. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Zima gari lako haraka kama ikiwaka taa hii kwenye dashboard

    Mkuu nimegiza kagari kangu RAUM nitumie njia gani kuweza kutunza katika matumizi
  5. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Habari wana jamii Naomba kufahamu namna ya kufanya kabla sijanunua gari ya mkononi ikiwa tayari imesha letwa na madalali.....
  6. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Kupata data za mtumiaji wa kadi ya NHIF

    Habari wana Jamii naomba kufahamu kama kuna uwekano wa kujua mfanyakazi wa shirika, kampuni au mfanyakazi wa serikali anae tumia kadi ya afya ya NHIF kama kadi iyo ime beba watoto/wagemezi wangapi na majina yao... Asanteni nategemea majibu mazuri kutoka kwenu
  7. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Subaru XT na XS ni ipi?

    Habari wana Jamii naomba msaidie tofauti ya Subaru XT na Subaru XS. Asanteni!
  8. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Rekodi yako ya muda mfupi sana wa safari kuendesha gari (private drive)

    Mwanzisha uzi embu rekebisha kwanza ndio na sio tuseme ukweli wewe mliman city to kibada dk 20!!!???
  9. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Radiator fan inazunguka polepole,haina ile speed yake ya kawaida. Shida ipo wapi?

    Mm ninacho jua icho kitundu ni kuruhusu maji kutoka pindi water seal inapo kufa (kukuonesha kifo cha water pump)
  10. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi gani ninaweza kurekodi whatsapp video call?

    Habari za mchana wana Jamii naomba kufahamu jinsi au ni app gani inayo weza nikipiga video call watsap nimeze kumrecod au nikipigiwa. Asanteni nategemea kupata ushirikiano wa kutosha
  11. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

    Asante sana nime kupata
  12. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

    Habari mkuu samahani naomba kuelewa kitu kwenye maelekezo yako Una maana kabla ya kubadili gearbox ya automatic ni lazima kufanya iyo diagnoses?
  13. babkaju3

    JamiiForums Tanzania Tatizo la taa ya 'oil' kuwaka na kuzima

    Oil ya brake na hydraulic vina usiana nn na kuwa oil light?
Back
Top Bottom