ni kuwa
rahisishia waliopata kadhia hii waweze kupata haki zao, sio kuwabambika, kubambika kama hawakufanya lakin kama wamefanya ni haki yao kurejesha haki za watu
ni kuwa
rahisishia waliopata kadhia hii waweze kupata haki zao, sio kuwabambika, kubambika kama hawakufanya lakin kama wamefanya ni haki yao kurejesha haki za watu
kwa yeyote aliyewahi kutapeliwa na matapeli ambao wana post matangazo ya kupangisha nyumba kupatana.com maarufu kama tall na bonge na mtandao wake wamepatikana, tuwasiliane kama uliwahi kupata mkasa huo, namba zao zinaishia na xxxxxx264, xxxxxx882
Kodi opa 3,250,000 manunuzi njoo nikupe best price CIF 2400 mpaka Dar, port charge 280,000, shipping line 140,000, plate number 35,000, agent fee 250,000 na usajili 380,000 jumla inakuwa around 8,200,000. If interested nitumie namba yako ntakutafuta
TAFUTA BIASHARA ITAKUA RAHISI KULIKO KAZI, UMESHASEMA NI NGUMU TAFUTA IDEA UTAPATA MTAJI AM SURE ONE MILLION CAN GIVE YOU PROFIT OF MORE THAN 200 UNAYOTAKA, WAKATI UNAENDELEA KUTAFUTA KAZI. pole sana
Power Steering, Air Conditioner, Rear Spoiler, Alloy Wheels, Navigation, TV, Anti-Lock Brake System, Dual Air Bags, Power Windows
AERO,CD
For test drive come around Arusha memorial Tower soon
SAWA gaidi kwa tafsiri sahihi ni MUISLAM kweli ponda ni muislam hafai kutetewa. kama gaidi we niambie amewahi sema nini kinachoashiria ni uchochezi, najua wewe ni mshabiki huwezi kuniambia ulichosikia from mouth ya sheikh sana utaripoti propaganda za serikali, polisi zinazoandikwa na mfumo kristo
hakuna pakushtaki watu wanatumia madaraka yao wanafanya watakavyo, wamewanunua mpaka msemaji wa MOI ati wameshindwa kuthibitisha kama lile ni jeraha la risasi au la; kama maprofesa wanakua waongo kiasi kile ni balaa, hatuna namna moja ya kupima jeraha, test ziko nyingi na unaweza fikia hitimisho...
lipumba amechochea nini jamani mbona anasema kitu kilichopo naye ni muumini wa dini hivyo hapendi kuona kiongozi wake anadhulumiwa, wewe ungependa kuona padre slaa kapigwa risasi na kupelekwa segerea ungefurahi, basi wewe huna utu kabisa
Na tunataka viongozi wadini, Mbona Slaa ni mdini tena padre, lakini hamumsemi. tunakoenda kubaya itakua kama misri kila mtu anataka lake lisikilizwe, tunahitaji kupima jambo. Kesi ya serikali kuwabambika watu kesi si sawa wawe waislam au wakristo, sasa hili limetokea kwa waislam na lipumba ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.