Recent content by babeshiblenden

  1. babeshiblenden

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Cargo Tallying in International Shipping ipoje katika soko la ajira?

    Wakuu habar zenu, Jamani kuna mtu ambae alisomea course ya Cargo Tallying in International Shipping pale NIT. Hii course ikoje wakuu ina market?
  2. babeshiblenden

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

    Hii lazima niiprint kwakweli
  3. babeshiblenden

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za Kazi TASAC

    Kumbe hawa tasac ni wajanja sana eeh
  4. babeshiblenden

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka ualimu kwenda TASAC

    Tadac wanazingua sana watu kwenye tallying clerk pale kuingia sio kirahisi wanaweka ndugu zao tu ,sisi wengine tushapeleka barua sana naona zinachanwa
Back
Top Bottom