Acha ndoto ya mchana wajukuu zetu wasije piga viboko makaburi yetu kwasababu ya kufanya uchaguzi kwa uzoefu , kuwa na fikra zinazoishi lowasa ndo mkombozi wako .tangu 1961 waliopata uhuru ni viongozi wa ccm wao kila siku ni sherehe harafu raia shida tu ,acha kupotosha umma .andaa maisha yako na...
Think beyond don't undermine Tanzanians there isn't even a single day when the ruling system of CCM will faver its citizens. % Mti ni ule ule ambao matunda yake ni yale yale ya siku zote .Lakini ukae ukijua kuwa kwenye mti wa mkuyu huwezi vuna maembe. MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YAKO WAPI...
Mwakyembe na slaa wapuuzwe tuh!
1:lowasa kama waziri hana kinga ya kushitakiwa kikatiba mpaka sasa haja shitakiwa kuna nini hapo? 2:mbona muda mrefu umepita hivi richmond ni ya leo ,au sheria haina meno juu ya lowasa 3:wamesema wanaushahidi kwanini dr.slaa...
Tumechoka ccm basi iwe chama cha upinzani .huyo slaa alisubili kubembelezwa kapuuzwa ndomana anapoteza muda si aende mahakamani .slaa, kwani kosa la lowassa limesha expire nenda kisutu, ccm imetumaliza tuko hoi ...sasa ukawa hatuna livers ni mbele na lowaaaasaaaaaaaa
Makongoro ndo walewale akna kinana,magufuri,jk,nae hajitambui hayo sio yakusema mbele yetu sisi wachambuzi au kwa vile mtoto wa muasisi wa taifa ndo kibuli eti.
Huyo magufuri afie mbali watanzania tumechoka na sera ya jembe na nyundo .Kwanza ajibu swari kwanini Tz nimaskini ,mbali na hayo jembe na nyundo imewafikisha Watanzania wapi?na hasa mkulima.
Hao sio wasomi mi naamini ni wana ccm walewale nakama ni wasomi basi stashahada zao wameacha kwenye notes .Harafu hao wachambuzi waache uvivu wa kufikiri .Wasijepotosha umma ukweli ukowazi harafu sisi ndo wapiga kura.
We achana nae tu usje kujuta bure ,mana hapo unapima kina cha mto usiojua urefu wake kwa kutumia miguu yote miwili utazama ,BABAZIRO BACHELOR MCHANGO WANGU UPOKEE.BEST WISHES MY FRIEND
usiongee kwa vile unaweza kuongea tu ,ila angalia unaongea nini mbele ya umma .Usiongee kwa kutumia uzoefu hebu ongea hoja usiwe kasuku ,kama ukawa huna imani nao basi hauko kwa mungu wala kwa shetani.mana unaunga mkono jk anaetuonesha kuongezeka kwa msongamano wa magari Dar essalaam kuwa ni...
CCM wamezoea wakumbuke kuwa watanzania wanahali ngumu laiti kama watanzania wote wangekuwa na uwezo wa kujuwa wabunge wa ccm wanachogombania kuwa ni 238milions wangeandamana , wangejuta kuchagua mafisadi kama hao.
UKAWA KAZENI BUTI maisha yabadilike watanzania tuache kuzeeka na miaka 40 maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.