Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekuwa unatumia ili vidole visipate michubuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ray nyegezi hahahahaahahaha mtumwa unahangaika sana unatumwa kuongeya machafu zidi ya jeshi hahahahaha mtazoea tu ... washenzi waongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hii anafanya kazi gani ?? Si bado anadangia vijana kuanzia kwa mwarabu fighter ...mbosso hadi ameolewa na kibenten chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wew ni demu ao man ??? Kama wew man una mkee na watoto ao ni jemsi delicious ???? [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji39][emoji39][emoji39][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kuna ngoma kibao zimewekwa ndani WCB, lengo lao kutaka tu kupinzana na Konde Boy.
Eti Rayvany Mr Nyegezi katoa ngoma 5 bada ya jeshi kutoa. Sasa Diamond anasubiri siku tu Harmo akitoa ngoma na yeye atoe zake, hahahahahaha...
Harmonize amewapoteza sanaa ....wanahangaika kupata atakae chukuwa nafasi yake bila mafanikio inabidi tu boss wao domo aichukuw nafasi ya harmonize [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.