''no one is above the law'' kama itakuwa kila anaetenda makosa aachiwe huru kisa anawafuasi wengi basi itakuwa haina maana ya kuwa na sheria, me nasema ni jukumu la serikali kuwaelimisha wananchi wake utii wa sheria pasipo shuruti hasa hawa waislam, kwenye system ya sheria hamna shortcut za...
wengi wanapenda kujiunga na Jeshi ila hawajakaa chini kufikiri vizuri akili zao zinaongozwa na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,kazi ya jeshi sio lelemamakwamba kila mtu anaweza kuifanya inahitaji wito na upendo wa dhati kutoka moyoni.
kazi ya jeshi inahusisha kuuwa au kuuliwa hivyo kama...
kwa maoni yangu hukumu ya kifo iendelee kuwepo hususani Tanzania. Iwepo hasa katika makosa ya kuhujumu uchumi ili tupunguze mafisadi wanaowauwa watanzania wengi kwa kushindwa kupata huduma muhimu kutokana na uwizi wao.
plz JF help me to understand this;
for what i know other laws emanate after the constitution come into operation, therefore constitution of TZ was supposed to be the first act to be enacted and passed by the parliament.my problem is why is it cap 2? and what are the procedures which used to...
TANZANIA CHRISTIAN FORUM (TCF)
MKUTANO MKUU WA NNE WA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA (TCF)
TAMKO RASMI
"ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI, NA DUNIANI IWE AMANI KWA WATU ALIOWARIDHIA"
Utangulizi
Katika Mkutano Mkuu wa Nne wa Jukwaa la Wakristo Tanzania, Tanzania Christian Forum – TCF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.