Recent content by babampigi

  1. B

    Nina mpango wa kuanza kuuza vifaranga vya kuku vya siku moja hadi mwezi. Hii ni biashara nzuri?

    Your excused mkuu, ni vyema tuelimishane mie mwenyewe ndio kwanza machines hazijaingia nafanya more research kujua nini ni kina manufaa zaidi.. Nitakuwa nashirikiana na mdogo wangu pia.. Kuna jamaa yuko Mbeya anauza mayai ya mbegu zote hizo, na pia kuna dada yuko Tabata anauza hadi mayai ya bata...
  2. B

    Nina mpango wa kuanza kuuza vifaranga vya kuku vya siku moja hadi mwezi. Hii ni biashara nzuri?

    Since umekuja kishari Shari nitakujibu hivyo hivyo.. Unadhani naweza nunua incubators za kutotolesha vifaranga zaidi ya 14,000 bila kufanya research ya kupata mayai? Kama huna jibu au hujui kilicho ulizwa ungeweza pita kimya kimya tu
  3. B

    Nina mpango wa kuanza kuuza vifaranga vya kuku vya siku moja hadi mwezi. Hii ni biashara nzuri?

    Kwema mkuu, nashukuru sana ndio pia niko kwenye process ya kujenga mabanda. Sema for the first few months nataka ni concentrate na kutotolesha na kuuza vifaranga.. Nashukuru Sana kwa ushauri wako
  4. B

    Nina mpango wa kuanza kuuza vifaranga vya kuku vya siku moja hadi mwezi. Hii ni biashara nzuri?

    Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema nime order incubators 3 zenye ujazo wa 6,336 ingine 4,224 na 3,520 zinakuja na Hatchers zake pia nime order hatcher peke yake ya mayai 3500. Naanza kutotolesha vifaranga wa aina zote Kama Cross breed, Black/white Australorps, kroiler, Red...
  5. B

    Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe waongea na waandishi wa habari

    Mkuuu wewe genius. I was asking myself that same question. Alisema yeye na wenzake wote wako salama, kiakili na kuafya aliyasema hayo Saturday leo anasema bado hayuko vizuri.. Daah anatia huruma maana sijui katishwa kitu gani
  6. B

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Sawa mkuu lakini nakuhakikishia matokeo ni yake.. Jana nimeandika humu huyu jamaa kasoma na mdogo wangu darasa moja wamemaliza mwaka mmoja Nyanza Primary ali fail na bado akaenda Pamba sec ambayo ni government school just because uncle wake alikuwa Mayor wa Mwanza at that time( kosa lingine...
  7. B

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Mkuu asante labda kuna siku wataelewa tofauti ya Certificate na Result slip.. Bashites in the making
  8. B

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Badala umshangae Bashite alokosa hata D ya Bible knowledge unashangaa mtu anacheti cha Hotel management??
  9. B

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Mkuu hivi huoni Kama Tanzania mabashite ni wengi mno? Heheheee yani siamini kwanini watu wameng'ang'ania hiyo ni certificate? Wapi imeandikwa ni cheti jamani?? Result slip unapewa anytime ukienda na namba ya mtihani na mwaka ulomaliza. Tena wanakupa hapo hapo ni kwamba wana print sio cheti.. For...
  10. B

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Ukiona mtu ansmtetea Daudi Bashite either ni mbumbumbu au mtu wake wa karibu au anapata kitu kutoka kwa jamaa... These are few facts about Saudi A. Bashite mimi binafsi nimesoma Nyanza Primary School mwalimu mkuu wa shule yangu ya Primary anaitwa Mwalimu Tumbo au mama Gumbo mpaka LEO HII...
  11. B

    Mange amlipua Shamim mwasha

    Basis mwenzako vile vibao alijua bastola hihihiii yani huyo mwanamke kichaa, kusema katishiwa bastola wakati watu tuliona wakati anachapwa vibao. Sasa sijui Abdul kakomaa mpaka mwenzetu hakuweza kutofautisha.
  12. B

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Nimesoma page zote 54 nikagundua Tanzania Ina a very long way to go. Hivi twende na mifano ni nchi gani inatangaza wauza madawa ya kulevya hadharani? Tena wanaosemwa na watu, hujamkamata mtu na madawa bali unasikia sikia tu, shit like that ONLY happens in TZ. Kuna mtu anaitwa Big Meech alikuwa...
Back
Top Bottom