Recent content by babalisa05

  1. babalisa05

    PreGE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

    :D:DHAYA BWANA HUWA NAMUONAGA HANA WOGA JASIRI NA YUKO SERIOUS
  2. babalisa05

    USA stock market

    THANKS...
  3. babalisa05

    USA stock market

    Nawezaje ku trade soko la hisa la USA mikiwa TZ? Nawezaje kununua big stocks kama AAPL, TSLA etc Sio Forex bali Stock MARKET kama kuna broker naweza mtumia hapa TZ
  4. babalisa05

    Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

    Most ya makatibu wa wizara na mawaziri wako kwenye payrolls za waarabu na wazungu kulinda maslahi yao. Cant prove this ama siwezi kuelezea with confidence ila will say anyway. wanasema machimbo ya mafuta Mtwara yata drain mafuta ya uarabuni kwakuwa yako kwenye mkondo mmoja wa mwamba na Tanzania...
  5. babalisa05

    Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    kafunge na kusali ili Taifa lipate hasara kwa kuwalipa wazungu
  6. babalisa05

    Sakata la Rambirambi Arusha: Lema aibuka na tuhuma mpya

    kimeibiwa nini na kimeibiwaje wajameni? Napata habari nusu nusu sioni nani kaiba nini... pls ufafanuzi
  7. babalisa05

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    kuna watu jamii forum ikifungwa watajinyonga.. they take it very serious... muwe mnatoa na really award na vyeti kwa baadhi ya watu
  8. babalisa05

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    cant misuse my logic to please u.. by the way iwhats logic?
  9. babalisa05

    Unanunua Ndege, Waalimu hawajalipwa Miezi 5!

    Siasa all over na majunguz na pumbaz na micharuko ya akiliz... Thanks kwakutufungua na kuwa honest
  10. babalisa05

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Kupata F shule sio laana .... ndugu zetu wengi wamepata na wanamaisha bora kuliko wewe..... Akina Bill gates hawajamaliza kabisa shule.... Mimi ni product ya Mzumbe so u need to know better darling
  11. babalisa05

    Unanunua Ndege, Waalimu hawajalipwa Miezi 5!

    Shikilia kwa nguvu...kaza mikono... ngangania .... jokin
  12. babalisa05

    Unanunua Ndege, Waalimu hawajalipwa Miezi 5!

    Just brilliant
  13. babalisa05

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Analysis my left leg.. kwenda huko PhD za jamii forum hizi zinatafutwa kwa kazi sana Unajiongelesha utadhani kuna cha maana unaandika
Back
Top Bottom