Huo sio uoga bali Ukweli kwani magufuli alipaswa apitie mikataba kwanza waitengue kabla ya kuja na hili la sasa ambalo wawekezaji wakienda mahakamani lazima watashinda kesi na Taifa kulazimika kuwalipa mabilioniUkiwa muoga usiogofye na wenzako
Huo sio uoga bali Ukweli kwani magufuli alipaswa apitie mikataba kwanza waitengue kabla ya kuja na hili la sasa ambalo wawekezaji wakienda mahakamani lazima watashinda kesi na Taifa kulazimika kuwalipa mabilioniUkiwa muoga usiogofye na wenzako
Kibaraka ni wewe umekula 10% ununuzi wa ndege kwa cash, ujenzi wa reli, bomba la mafuta kwenda uganda, bomba la gesi toka mtwara, Escrow, chenji ya rada, chenji bunge la katiba, pesa za NIDA mpaka zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa wakai msukuma akiwa waziri wa ujenzi, wewe ni noma unakula pesa kimya kimya na Bashite huku ukiwa Dalali wa kumletea waganga wa kienyeji toka pande mbalimbali Duniani.Walioligharimu hili taifa ni kina Mkapa,Kikwete na Lowassa.
Acha Magufuli apige kazi liwalo na liwe msituletee porojo vibaraka wa mafisadi nyie.
Kwani mbona meli ya samaki walisema inavua kinyume cha sheria? Kule mwanza alivunja kituo cha mafuta akadai kipo kwenye hifadhi ya barabara lakini vyote alishindwa kesi na mpaka leo serikali inawalipa mabilioni.Je mkataba unaruhusu kufanya udanganyifu?
Ww ni adui wa maendeleoMKWEPA KODI , sina uhusiano wwt na ACACIA, wala hata hawanijui.
Hili la kuona mtu mwingine mwenye mawazo tofauti na mawazo ya watu wengine katumwa, kahongwa, msaliti, mwiz, fisadi, litatupeleka pabaya. Lazima tutofautiane katika hoja ili tuweze kupata mawazo yaliyo sahihi zaidi. Katika hili, Mh amekosea kudeal nalo.
Mkuu hawatakuelewa sana sana utaitwa CHADEMA au UKAWA muda utaongea
Mmmmmmm hicho unachosema mbona yeye hajakisemaSo unataka tusimuunge mkono magufuli au!!? watu wa aina yako ndo mnaturudisha nyuma.
Tushindane kwa hoja Mkuu G'taxi , personal attacks ni za watu wasiokuwa na hoja. Nimetoa angalizo na ukizingatia historia ya matukio aliyoyafanya kipind cha nyuma, maangalizo km haya ni muhimu. Mm sio ndio mzee, kuhoji lazima.Mtoa mada ulivyo muoga sijui kama unalea familia ipasavyo,kwa uoga ulionao utakuta pia ktkt maisha yako kuna vitu vingi vimekushinda kuthubutu na kukusababishia umasikini unaokupelekea kuamini kua ni serikali ndo imekupa umasikini
Bahati mbaya kushindana siwezi ila ukweli hua naujua sana tu..kuanza kubishana hapa muda wa kazi tutaonekana wote hatuna cha kufanya isipokua kupiga soga.tunaandika hapa lakini muda mfupi na kuendelea na kazi lakini si kujenga hoja na kuanza kubishanaTushindane kwa hoja Mkuu G'taxi , personal attacks ni za watu wasiokuwa na hoja. Nimetoa angalizo na ukizingatia historia ya matukio aliyoyafanya kipind cha nyuma, maangalizo km haya ni muhimu. Mm sio ndio mzee, kuhoji lazima.
kafunge na kusali ili Taifa lipate hasara kwa kuwalipa wazunguMaboso , mm ni muoga wa kipuuzi niliye na mawazo ya "kiwerevu yenue akili".
Muda ni kitu kizur sana, ngoja tuusubiri utatuambia tu.
muulize mama yako kama anajutia kukuzaa au la.......na kiongozi anayefanya maamuzi ya kipuuzi anaitwaje??
Mikataba kuhusu madini and it's related iwe ya uwazi na ijadiliwe bungeni pia walipinga uteuzi wa muhongo kuwa waziri na nyinyi CCM mkapingakwani msimamon wa chadema na ukawa ni upi?
Mfumo wa uongozi aliouweka Rais
Magufuli awamu hii ndio utakaoliingiza taaifa hili pabaya. Magu amejitahid na amefanikiwa kuweka mfumo wa watu kuwaona wote wanao-challenge mawazo yake ni wezi, wapiga deal, mafisadi, wala rushwa au wamepewa chochote kile wamkosoe. Huu utaratibu ni mbaya na naona taratibu unaanza kulitafuna taifa. Ss hv ukiongea tofaut na mawazo ya Rais au Serikali yako basi ww utaonekana ni moja ya watu hao niliowataja hapo juu. Kuna vitu vingi tu ss hv Mh. Rais anachemka lkn watu (wataalam) wanapiga kimya kwa kuogopa kuonekana hawaitakii mema nchi hii au wamepewa hela (wamehongwa). Hii ni mbaya sana kwa taifa. Ku-challenge (kuhoji) maamuz au mawazo ya Rais (au Seikali) sio usaliti kwa nchi, ni njia nzuri ya kufanikisha mambo yaende, hatuwez kufanana mawazo au mitazamo naukiona mnafanana kwny kila jambo basi ujue anguko lenu limekaribia.
Kwny taarifa ya jana kuna vitu vimepotoshwa /vimekuzwa lkn watu hawawez kuviongelea kwa kuogopa km nlvyosema hapo juu. Mkulu anaposema kwa makontena yale 277 serikali ilkuwa inapoteza mapato kati ya Bil 676 na Trilion 1.147 ya dhahabu sio sahihi. Hizi ni true value (thamani halisi) ya dhahabu iliyopo kwny makontena ambayo ikiuzwa, serikali kupitia TRA itachukua kodi/tozo/mrahaba wa 4% kwa sheria ya ss hv. Kwahiyo hiyo hela yote sio ya kwetu, sisi tuna % tu ya hela hiyo iliyotajwa. Tatizo lililopo ni kuwa kulingana na taarifa ya tume, thamani halisi ya dhahabu ni ndogo kuliko iliyotajwa hapo mwanzoni. Sasa hili tumelikuza na kuwaaminisha wanatanzia tumeibiwa kati ya Bil276 na Trilion 1.147 wakati si kweli chetu pale ni 4% ya true value (Bil 676 to Tril 1.147)
Ni km kwny biashara zingine tu za uzalishaji, utazalisha soda utauza zile soda, baada ya mauzo halisi ya soda zile kwa thamani sahihi ya soda, ile hela iliyopatikana (gross revenue) itapigwa % kadhaa kama kodi/tozo na mzalishaji atabaki na chake baada ya kodi/tozo (net revenue). Sasa jana tumeaminishwa ile gross revenue baada ya kuuza zile dhahabu ni yetu yoteee. Hili tulikosea jana na kuleta tahaaruk kubwa ya kuonuesha kuwa tunaibiwa sana. Ni kweli tunaibiwa lkn tuepuke kukuza mambo.
Haya yote aliyoongelea Maguful hayajaanza leo kuongelewa, yamesemwa muda mrefu tu. Tatizo kubwa ni la mikataba mibovu tuliyokisha kuingia, hii ndio itatupeleka kwenye matatizo. Hatuwez kunufaika kwa kumfuka Prof Mhongo, ndio ana mapungufu yake meng tu, lkn yy sio source ya matatizo ya madini tuliyonayo. Kwa hli alilolifanya mkulu, we will feel the pain in the future, wenye migodi wamewekeza hela nyng sana and they are very smart to make sure they follow the state's (world) rules. Hawawez kuona hisa zao zinaporomoka hv na wasichukue hatua. Km tunavyoona ss hv tuna suffer kwa maamuz mabaya ya Mkapa, vivyo hivyo awamu zijazo tutasuffer kwa maamuzi haya mabaya ya Magufuli