Baba Askofu nikuulize swali moja dogo na la kimsingi..... hivi kanisani kwako watu wakienda kutubu/kufanya toba huwa mnaweka matangazo kwamba fulani na fulani wamefanya toba au..... maana mi nashindwa kuelewa hapa..... nijuavyo mimi toba huwa kati ya mtu na mungu wake au kwa wakatoliki ni kati...
Naomba msaada wenu jamani katv kangu ka ofisini kameleta matatizo nashindwa kuangalia au kusikiliza Bunge.... msaada kwenye tuta nawezaje kupata access ya kuangalia Bunge online.... very important wadau wakati narekebisha kidigital changu....
KWA miaka mingi tokea uhuru wa Tanganyika 1961 na Mapinduzi ya Zanzibar 1964 viongozi walijitahidi kuwafundisha vijana kwa wazee umuhimu wa kusema ukweli hata pale ukweli huo unapokuwa mchungu kama shubiri.
Tulishuhudia viongozi wakiwaeleza vijana kwa wazee ukweli kuhusu matukio makubwa kama...
Jamani msiangalie tu taarifa za habari angalieni na vipindi vinavyokaribisha wageni.... samahani mtoa mada kama unasoma tu magazeti.... go deep and come with a real reason.... ukiangalia kama TUONGEE ASUBUHU YA STAR TV au ITV wanvyoongea na wageni wao hutasema huo upumbavu..... chukua maarifa...
Sijui wanajamii mmechukuliaje kauli ya Mh Lukuvi ambaye ni Waziri mwenye mamlaka makubwa sana katika nchi yetu..... kwa ukweli mimi nimemtapika tena kwa nyongo.... maneno aliyoyasema inaonyesha yeye ndiye engineer wa haya mambo.... unajua wahenga walisema ukitaka kujua undani na ukweli wa moyoni...
Hamy - D hapo umechemsha mkuu..... rais alienda kufungua bunge maalumu la katiba ya wananchi wa tanzania..... sio bunge maalumu la katiba ya wanachama wa Ccm KUA kidogo mkuu hata kama ni ushabiki wa chama wakati mwingine inabidi kidogoooo muwe na uzalendo hiyo katiba kumbuka inakuhusu wewe na...
Wanajamvi kuna mtu kamuelewa vizuri mkuu alivyosema hapo juu..... mi nadhani yangoswe aachiwe ngoswe tujikite kwenye mada inayogusa watanzania wote.... hizo issue tatu hapo juu ni muhimu sana kwa watanzania wote be it CHADEMA, CCM, MAGAMBA, MAGWANDA SIJUI BAVICHA SIJUI UVCCM.... kila mtu...
Mods: naomba mnisaidie jambo moja.... hivi hakuna uwezekano wa kuzuia au kufuta kabisa contributions za kipuuzi kama zilizotolewa na faiza na simiyuyetu hapo juu kwenye jambo la muhimu na nyeti kama hili la mzee mwanakijiji..... maana wakati mwingine huwa nahisi hata kulia ninapoona mtu...
Mkuu Lemutuz unaulizwa kwahiyo zile sms za vitisho na hiyo namba ya simu sio ya muheshimiwa? jibu hapo kwanza maana bado wengine tunachanganywa na habari zilizopo, mara simu aliigawa miezi sita iliyopita, mara tunaambiwa baada ya hii habari kutoka alipigiwa kwenye namba hiyo hiyo na kupokea...
Muheshimiwa mbunge hongera kwa majibu yako na kuonyesha kwamba unafuatilia kero za wananchi, ninachoomba iwe ni ukweli na haki itendeke pale ambapo wananchi wanatakiwa kulipwa fidia na riba na iwe hivyo, na ikiwezekana simamia mwenyewe kama alivyosema mwanajukwaa mmoja. SIMIYU KWETU: Hivi wewe...
Yaani kwa ukweli mimi huwa naumia sana na maneno yanayotolewa na wanasiasa. Hivi kweli mtu akiwa na macho makavu kabisa anaongea kitu ambacho anajua kabisa ni uongo na wala hashtuki. Nape kwa kweli marehemu mzee Nnauye (RIP) angekuwa hai akaona jinsi mtoto wake anavyofanya angeumia sana. Kwanini...
Pole sana mkuu, mungu wetu ni mungu wa haki na kamwe hawezi kumuacha mja wake. Kwa sababu ulikuwa ukiifanyia kazi nchi na waja wa mola wetu hakika mungu atakulipia. Cha muhimu ni kuendeleza maombi sana, na mungu atakusimamia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.