Recent content by BabaL

  1. BabaL

    Mhe. Simbachawene usimwogope mheshimiwa rais, elimu bure haitekelezeki

    Hapo ndo kazi ingekuwa ngumu zaidi
  2. BabaL

    Mhe. Simbachawene usimwogope mheshimiwa rais, elimu bure haitekelezeki

    Hoja Binafsi: Kiukweli kabisa kuanza na elimu bure kwa levels zote (darsa la kwanza = form IV) haliwezekani kutokana na ukweli kwamba hakukuwa na muda wa kutosha kujipanga kimiundo na kiutawala. Serikali ingeanza hatua kwa hatua, yaani wangeanza darasa la kwanza walioanza mwaka huu, next year...
  3. BabaL

    Kwa haya simkubali magufuli

    Kampeni zimeanza kimya kimya!
  4. BabaL

    Kwa haya simkubali magufuli

    Naona kuna namna mpya ya kampeni za kumpinga Magufuli. Aliyepost suala hili typically ni Pro Lowassa ambao hawajakubali Raisi kutoka upande mwingine.
  5. BabaL

    Kwa haya simkubali magufuli

    Duh! MD sijui km ni hasira au la, acha kulalamika. Uraisi sio kuongoza darasa la tano B, vuta subira maendeleo unayoyataka utayaona tu.
  6. BabaL

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Take easy, si kila kitu cha kuchunguza. Ukimchunguza bata Wallah hutakula nyama yake.
  7. BabaL

    Lowassa: Kumeibuka tabia ya kuwanyanyasa waliounga mkono upinzani

    Unaweza pata picha nini kingetokea endapo Rais asingekuwa JPM. Wezi wangeendelea kupeta na uwizi wao! Magufuli endelea kukaza!
  8. BabaL

    Wachagga na Serikali ya Magufuli

    Hapa naona ukanda na ukabila unaleta shida. Kuna Watu walitaka Rais atoke kwa na hao ndio wanaleta hoja dhaifu kama hizi.
  9. BabaL

    Wachagga na Serikali ya Magufuli

    Ingawa wapo wengi wenye sifa ambao wanatoka makabila mengine. Wote ni Watanzania, yeyote anayeteuliwa ni sawa tu.
  10. BabaL

    Wachagga na Serikali ya Magufuli

    Ukabila hauna nafasi. Nadhani JPM amekwepa vitabia vya kupenda dili na ubinafsi
  11. BabaL

    Kikwete aongoza jopo teule la umoja wa mataifa kukabiliana na majanga ya afya duniani

    Kwa namna analivyosafiri nadhani angeshakuwa first officer (Captain wa Ndege)
Back
Top Bottom