Recent content by babajeska

  1. babajeska

    Rost tamu acha kuwaona watu hawana akili wewe ndo unazo

    ndio katuzidi mimi na wewe lakini hajawazidi watu wote 65mil
  2. babajeska

    Rost tamu acha kuwaona watu hawana akili wewe ndo unazo

    inawezekana kweli mimi na wewe ni wajinga ila sio watu mil 65 wote ni wajinga kama sisi wapo walio timamu
  3. babajeska

    Rost tamu acha kuwaona watu hawana akili wewe ndo unazo

    Wewe jamaa kuhusishwa kwako na magenge ya waporaji raslimali hayajaanza leo wala jana,sio mr.slow slow tu ndo kayaibua hapana tangu ukiwa mjengoni Taifa linakuimba wewe tu.Nchi hii inamatajiri wengi mbona wao hawasemwi???au wewe hela zako ziko tofauti na za bakharesa ndo maana unaonewa...
  4. babajeska

    DOKEZO Responded Urasimu na umungu watu ndani ya PSSSF - Dodoma ni kidonda kilichokosa dawa

    Mimi ni mwanachama wa mfuko wa PSSSF niliyechangia miaka kadhaa kabla ya kupoteza ajira kutokana na sababu mbalimbali, mwaka jana (2024) nilifUatilia fao la kukosa ajira nilizungushwa hadi nikaja humu JamiiForums kuleta kilio changu namshukuru Operation Manager alinisaidia. Pia soma ~ PSSSF...
  5. babajeska

    Polisi wazingira nyumba ya Lissu, Muliro aeleza sababu 'Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida'

    ndo shida ya kuajiri form four division zero baadae akapanda cheo.
  6. babajeska

    PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

    Hiyo jamaa ni mwizi Tena ni mwizi kweli,mtu mwenye tamaa na ulafi.kwasasa mnachokonoa mambo kutaka kupima watu wanajua Nini kuhusu yeye.Nenda kamwambie madudu yake yatakuwa wazi wakati ukifika asiwe na haraka.kama yeye anajiamini msafi akae atulie.period
  7. babajeska

    PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Sijasema namdhuru mtu, nimesema mama akipoteza maisha nitawapelekea mwili wake ofisini wafurahi
  8. babajeska

    PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Hicho hicho kidogo watakachonipa nimeridhika kingenisukuma kumsaidia mama
  9. babajeska

    PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Asante mkuu nimekaa namekosa ata nguvu za kutembea kurudi nyumbani
  10. babajeska

    PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
  11. babajeska

    Ili kutunza heshima, Kamanda atutake radhi au atoe ufafanuzi kuhusu ubora wa Jeshi la Wananchi

    Msichukulie vitu serious sana kamanda alimaanisha harmonize(jeshii)
Back
Top Bottom