Recent content by babab

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi na vodacom tusaidieni kuwakamat hawa matapeli

    Pouwa mwanangu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi na vodacom tusaidieni kuwakamat hawa matapeli

    kumetokea matapeli wanaowapigia waalimu wenye shida ya uhamisho.kwa muda mrefu waalimu wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi wamekuwa wanaweka mawasiliano yao kwenye mtanadao huu wa jamii kwa lengo zuri tu ili aweze kupata mwalimu anayetaka wabadilishane vituo vya kazi bwana mmja ambaya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi na vodacom tusaidieni kuwakamat hawa matapeli

    kumetokea matapeli wanaowapigia waalimu wenye shida ya uhamisho.kwa muda mrefu waalimu wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi wamekuwa wanaweka mawasiliano yao kwenye mtanadao huu wa jamii kwa lengo zuri tu ili aweze kupata mwalimu anayetaka wabadilishane vituo vya kazi bwana mmja ambaya simu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    sugu kappoze na mbeya tafadhali sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    silaha pesa na bunduki ni mzigo tu
  6. B

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    hapa moshi wamachingwa wamejipanga mbele ya kituo kikuu cha policy kwa raha zao
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    silaha pesa bunduki mzigo
  8. B

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    SUGU nenda kwa msigwa ukaongee na vijana tafadhali.yale ya mbeya uliyaweza nenda kwa msigwa tafadhali
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    mambo mengine ya ni ya kikoloni sasa.miji yote wamachinga hufanya biashara minjini kwani ndio eneo lenye watu.wamachinga hutegemea watu ili wafanye biashara.ni vyema wakasikilizwa pia.mfano manispaa ya moshi kuna kipindi walifunga baadhi ya njia za magari na kuwaweka hao wamachinga wafanye...
  10. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mwl wa shule ya msing aliyepo dar anataka kuja HAI kilimanjaro awasiliane na mimi kwa 0765101305
  11. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadilishana naye kituo cha kazi aliyepo dar aje hai kilimanjaro mawasiliano 0765101305
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!

    Sikujua kama kuna ndoto za mchana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Morogoro waponda M4C wamtaka Kinana awaeleze maana yake nini???

    namshanga mleta mada.hajui hata dunia inaelekea wapi.Anatakiwa ajue tanzania inahitajika mabadiliko makubwa ya kimfumo na kisera.hiyo miaka 50 kama hawakuwepo wa kuleta aina hizo mbli za mabadiliko basi ajue ndo wamekuja sasa.HATA SHATI UKILIVAA MIAKA 50 LAZIMA LITAKUWA LIMECHAKAA...
  14. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    watu wengine bwana ,wewe uanaambiwa DAR halafu unataka morogoro KUNA UHUSIANO HAPO KWELI
  15. B

    JamiiForums Tanzania natafuta tenda ya vitambulisho,t shirt na supplay ya vitu vya ofisin na srtationary

    kama huna tenda hizo unajibu ya nini.
Back
Top Bottom