Ccm haiwezi kupona tena!
Ccm iko taabani na itakata roho october 25.
Ccm imewakosea watanzania wote: Wanahabari, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wastaafu, wafanyabiashara, wanafunzi, waalimu, machinga,na mamantilie wamesalitiwa, wamedhulumiwa haki zao za msingi na kupuuzwa na serikali ya...