Recent content by Baba_Enock

  1. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Wadada wa saluni za kiume hawana kinyaa kabisa

    You nailed it
  2. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

    Kristu ni nini?
  3. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

    Yesu Kristu ni nini?
  4. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

    Mkristu ni nini?
  5. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Anayeshtakiwa kumuua Mkewe asema Kichwa cha Mwanamke huyo kiliungua moto kirahisi sababu alikuwa anakigeuza

    Reason : Temporary INSANITY... Kosa : Manslaughter Verdict : Guilty Ruling: 7 years including time served
  6. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Anayeshtakiwa kumuua Mkewe asema Kichwa cha Mwanamke huyo kiliungua moto kirahisi sababu alikuwa anakigeuza

    Umenena vyema... Vifo vingi vya wanaume vinatokana na maumivu na mateso kwenye ndoa zao... na la kushangaza wale ambao jamii inawaona ni Matajiri
  7. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Anayeshtakiwa kumuua Mkewe asema Kichwa cha Mwanamke huyo kiliungua moto kirahisi sababu alikuwa anakigeuza

    Mimi nilifikiri kuwa na gari ni UTAJIRI, kumbe unaweza kuwa na magari manne na ghorofa na bado ukaoneka maskini kwa mkeo... Acha niendelee kupanda Bajaj..
  8. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo ya Africa AfDB Kutoa Bilioni 244 Kwa Ajili ya Mradi wa Vijana,"Build a Better Tomorrow"

    Mojawapo ya sababu za kupinduliwa na kuuliwa aliyekuwa Rais wa Libya ni wazo lake la kutaka Waafrika kuazisha Benki ambayo ni mbadala WB, IMF, . .. RIP Col Gaddafi...
  9. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu kafiwa na mama yake lakini haoneshi huzuni wala kulia?

    MC Pilipili alifiwa na Mama yake mzazi na Mama yake mdogo akiwa MC wa sherehe ya ndoa mdogo wake... Aliendelea mpaka mwisho....
  10. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu kafiwa na mama yake lakini haoneshi huzuni wala kulia?

    Kuna baadhi ya watu wanafahamu kuficha hisia mpaka unaweza kudhania siyo binadamu... Note : Hii ni taaluma inayofundishwa darasani kama taaluma nyingine...
  11. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Naona wengi ni Gen-x. Smart TV bora ya nyakati zote ni Panasonic
  12. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Tabora

    Tabora ipo Kanda ya Ziwa?
  13. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    Sikutegemea comment kama hii kutoka kwako!!! Naamini usemi wa Warioba kwamba "... kila binadamu anayo bei yake.."
  14. Baba_Enock

    JamiiForums Tanzania Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

    Umejuaje kama ni makopo ya kubebea ARV?
Back
Top Bottom