Marekani anapoua mbona kelele si nyingi?...Iraq, Libya, Syria, Afghanistan, Vietnam, etc? Hujiulizi kwa nini? Siungi mkono mauaji ya raia. Lakini hii vita imetafutwa na NATO na hasa Marekani.
Nadhani haina shida hii kwani ni nchi mbili huru zilizoungana. Changamoto inakuja pale ambapo upande mmoja wa muungano (Tanganyika) unabebeshwa mzigo wa kulipa 'misaada' ambayo huitwa mikopo yenye masharti nafuu na mikopo na huku upande wa pili (Zanzibar) hauwajibiki/ haulipi. Hakuna fairness...
Hiki kinachojengwa sasa hivi ni cha hatari sana kwa usalama wa nchi. Rwanda, Burundi, Kenya, South Sudan, Sudan, Ethiopia, Zimbabwe n.k. wanapambana na changamoto za ama ukabila au udini baada ya madhara makubwa kutokea, sisi tunashabikia na kutaka kwenda huko kwa nguvu. Hili linavunja taifa...
Ili kipimo kiwe sawa, inabidi anaylsis ya makusanyo iwe kati ya July hadi Dec 2021 na isichanganye kipindi cha Dec 2020 hadi Juni 2021 kwani measures na policy (finacial bill) za makusanyo ya kodi kwa mwaka uliopita ni tofauti. Kwa ujumla yabidi kuongeza mbinu za kukusanya mapato kutoka kwenye...
Hivi solution ya haya mama aliyoelezea leo ni nini? Kwa sasa vyanzo vingi vya maji, sehemu mbalimbali nchini vimevamiwa na wakulima na wafugaji (nenda Morogoro na Nyanda za Juu kusini, n.k), watu wanalima hadi mabonde ya mito, miti inakatwa hovyo kuchoma mkaa na kupata maeneo ya kilimo, n.k.Kama...
Sasa naelewa vizuri kwanini viongozi wa dini huwa wanatetea mambo ya kipuuzi yasiokuwa na maslahi kwa taifa au wakati mwingi hukaa kimya! Kumbe nao ni sehemu ya ufisadi unaoliangamiza taifa. Mimi nilidhani walikuwa wanatoa kauli ya kuomba radhi na kuzirirudisha fedha walizopokea.
Nassari umeweka hii memo public ili iweje? Ni kitu gani huyu Mwigulu ameandika ambacho ni cha kukufanya uweke hii memo hapa? Looks childish! Kwa sasa namkubali Mwigulu baada ya kupoteza imani kwake hapo cku za nyuma.
Mbona Ole Sendeka kuanzia vikao vya ndani vya chama alikuwa anasimamia kutetea Pinda abaki? This looks ni maneno ya Umbea wa mtaani na baadhi ya wajinga wanaotetea wizi nchi hii. Leta evidence sio kuponda wale wenye msimamo kwa kurejesha uadilifu ulopotea. Kuna madudu mengi Escrow ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.