Singapore ni nchi ndogo kuzidi hata Zanzibar lakini ina maendeleo makubwa mara mia kidogo kuzidi Tanzania.
Zanzibar inabidi iwe na malengo ya kuwa singapore ya Africa na ni suala la kupata stahiki yake katika misaada inayopewa Tanzania nayo iwe inapewa nusu
View attachment 2123891
Nadhani haina shida hii kwani ni nchi mbili huru zilizoungana. Changamoto inakuja pale ambapo upande mmoja wa muungano (Tanganyika) unabebeshwa mzigo wa kulipa 'misaada' ambayo huitwa mikopo yenye masharti nafuu na mikopo na huku upande wa pili (Zanzibar) hauwajibiki/ haulipi. Hakuna fairness hapo!!! Tumekopa, tulipe sote, si vinginevyo.View attachment 2123875
Ndivyo inavyotakiwa.
Kuna fununu Ndugai alikuwa anachukia anapoona misaada na mikopo asilimia kama 300 inaenda Zanzibar, ule ulikuwa ni mwanzo tu, kwa sasa inabidi mambo yawe pasu kwa pasu, naamini spika mpya atatii na kumhshimu Rais ambaye yupo kwa maslahi ya Tanzania.
N i mwendo wa pasu kwa pasu kuanzia sasa.
kuna msaada wa trilioni 1.15, hizo zipigwe pasu kwa pasu nazo.
Hili jeshi lenu la uvamizi,mlilolimwaga kila mtaa huku Zanzibar mtaliondosha Lini?Huu muungano umekuwa ni km laana kwa watanganyika kwa jinsi wanavyonyonywa na kisiwa kisiwa chenye ukubwa kama kata ya magomeni
Watanganyika ni kondoo sana kwa kuendelea kukubali huu uongo unaoitwa muungano
Nadhani haina shida hii kwani ni nchi mbili huru zilizoungana. Changamoto inakuja pale ambapo upande mmoja wa muungano (Tanganyika) unabebeshwa mzigo wa kulipa 'misaada' ambayo huitwa mikopo yenye masharti nafuu na mikopo na huku upande wa pili (Zanzibar) hauwajibiki/ haulipi. Hakuna fairness hapo!!! Tumekopa, tulipe sote, si vinginevyo.
Mmeanza kugombea misaada, mnafurahia kuwa ombaomba.!
Japo sitetei misaada wala Muungano, ila Mwinyi naye si anaombaomba huko.?
Kwenye kulipa mikopo pia tulipe kwa uwiano sawa na Nadhani
Hakuna chochote kwenye huo mradi wa sukari!! Ubabaishaji mwingi. Hivi kile kiwanda chenu cha mahonda kimefikia wapi? Kimeshakata roho?Ni mkopo wa miradi mkuu, miradi!!
kama Bakhresa mzanzibari amejimegea ma ekari laki kadhaa bagamoyo kwenye mradi wa sukari nadhani hata serikali ya zanzibar kupitia mashirika yake kadha yanaweza kukopwa fedha kadhaa kuja kuwekeza Tanganyika, Tanganyika kuna ardhi kubwa sana, shirika la zanzibar linaweza kuwekeza kwa kujimegea hata heka laki kadhaa kufanya mradi wa kilimo, kuhusu vibarua wala hakuna haja ya kuumiza vichwa maana watanganyika kwa linaopokuja swala la kulima ni kama utamaduni tena hata hawaitaji malipo ya juu sana.
Kama mnataka pasu KWa pasu ya pesa ,basi na Mambo mengine twende pasu KWa pasu
Mfano,ardhi na fulsa zingine twende pasu KWa pasu, vinginevyo KILA mtu akae kivyake, TANGANYIKA imekua koloni la Zanzimbar
Pesa za mgao wa EAC Board kila nchi ilipewa zake, bila shaka hayati Karume (mzee...mungu amrehemu) anajua za Zanzibar zilipo.Kwani nani aliwaambia muivamie Zanzibar Na Nani aliwaambia muizuie isifunguwe Bank kuu yake wakati ilpovunjika EAC . Na zile pesa Za Zanzibar Za mgao Wake kwa nini mkazichukuwa nynyi wavamizi ? Wacha karma iwatafune
Pathetic....ndio maana hamlipi? Sasa naelewa kwanini mnangangania sana tukaombe misaada hata ambayo si lazima!....mmmh!Kwani nani aliwaambia muivamie Zanzibar Na Nani aliwaambia muizuie isifunguwe Bank kuu yake wakati ilpovunjika EAC . Na zile pesa Za Zanzibar Za mgao Wake kwa nini mkazichukuwa nynyi wavamizi ? Wacha karma iwatafune
Ardhi tayari wanayo huku bara, walipewa na mwl Nyerere kule Bagamoyo (ZEBA) ingawaje matapeli walishafanya yao na wananchi wakavamia lile ENEO mpaka sasa hamna kituNi mkopo wa miradi mkuu, miradi!!
kama Bakhresa mzanzibari amejimegea ma ekari laki kadhaa bagamoyo kwenye mradi wa sukari nadhani hata serikali ya zanzibar kupitia mashirika yake kadha yanaweza kukopwa fedha kadhaa kuja kuwekeza Tanganyika, Tanganyika kuna ardhi kubwa sana, shirika la zanzibar linaweza kuwekeza kwa kujimegea hata heka laki kadhaa kufanya mradi wa kilimo, kuhusu vibarua wala hakuna haja ya kuumiza vichwa maana watanganyika kwa linaopokuja swala la kulima ni kama utamaduni tena hata hawaitaji malipo ya juu sana.
Pesa za mgao wa EAC Board kila nchi ilipewa zake, bila shaka hayati Karume (mzee...mungu amrehemu) anajua za Zanzibar zilipo.
Pathetic....ndio maana hamlipi? Sasa naelewa kwanini mnangangania sana tukaombe misaada hata ambayo si lazima!....mmmh!
Pathetic....ndio maana hamlipi? Sasa naelewa kwanini mnangangania sana tukaombe misaada hata ambayo si lazima!....mmmh!
Ardhi tayari wanayo huku bara, walipewa na mwl Nyerere kule Bagamoyo (ZEBA) ingawaje matapeli walishafanya yao na wananchi wakavamia lile ENEO mpaka sasa hamna kitu
sky soldier anawachokoza watu humu jukwaani.Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini Ubelgiji.
Zanzibar na Tanganyika zinaunda Tanzania.....pasu kwa pasu ndio mpango..Meli pasu kwa pasu, Ndege pasu kwa pasu, pesa za sherehe za muumgano pasu kwa pasu, kuna uke mkopo flani hapo nyuma Zanibar ilipewa bilioni 250 tu kati ya 700 hivi, hii haikuwa sawa, sasa tunaenda kuweka mambo sawa kwa hii trilioni kupigwa pasu kwa pasu.
Spika bora kuwahi kutokea Tanzania Spika Tulia, ambae bado ni kijana mwenye nguvu na mwenye akili ya kufanya critical thinking tuma hakika ni mzalendo, hana ukafi, hili litapita tu vizuri kabisa 😋😋😋
Mtu anaekosoa muungano anamkosoa baba wa taifa Nyerere, chunga sana kinachotoka kwenye mdomo wako.
Muungano utakindwa
Nguvu aliyotumia kupata hicho tunachotumia sio ndogo. Marehemu JPM hakuvuka bahari ya mediterranean muda wote wa miaka 6 aliyokuwa ikulu.Baada ya kustaafu ataenda zake visiwani watanganyika tukihangaika kulipa deni
Kumbe wazenji wachache hivi?! Nashauri wamasai wa Ngorongoro wahamishwe huko ili kuboost population visiwani.Watu milioni 60 wagawane sawa na watu milioni 1
Mbona wamejaa ZNZ ng'ombe wamewaishia labda wamekuja kuchunga samakiKumbe wazenji wachache hivi?! Nashauri wamasai wa Ngorongoro wahamishwe huko ili kuboost population visiwani.