Recent content by baba sandra

  1. baba sandra

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Duuuh, huyo boss nae kilaza, hakuwaza hata kufanya utafiti kwanza??? Hiki ndio kinatuponza wajasiriamali wengi wa kitanzania, tunapenda kusukia vitu vya kututoa kirahisi sana bila kufanya utafiti, boss angechunguza kwanza uhataji wa michachai kuanzai soko la ndani na nnje, mpe pole boss...
  2. baba sandra

    Wafugaji: Tupeane elimu ya Azolla ili tupunguze gharama za chakula kwa mifugo

    Yeah hii azolla ni nzuri sana na inapunguza gharama za chakula kwa asilimia kubwa sana, na utengenezaji wake ni rahisi kwa garama ndogo
  3. baba sandra

    We mwanaume unikome!

    Kwani anakutongoza, ukakubari, uliweka mambo hadharani humu?? Iweje kuachana uanze kuweka mambo hadharani?? Jifunze kuwa mtu mzina na uzingatie maadali.
  4. baba sandra

    Ufugaji wa paka

    Ahahaha duuh watu wakiona unapaka zaidi ya wawili hawachelewi kukuita mzee wa bisara (mwaanga) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. baba sandra

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Duuuh wanawake mungu anawaona aiseeee......
  6. baba sandra

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Naunga mkono hoja[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  7. baba sandra

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Namba 6 ndio ilikua kiboko
  8. baba sandra

    Namchuna mme wa mtu kwa miaka miwili sasa lakini hajawahi kuhitaji chochote kutoka kwangu!

    Usawa huu cha bire ni shkamoo tu....usipokua na akiri za kujistua haraka, makubwa yatakukuta
  9. baba sandra

    Huyu mwanamke nampenda ila nashindwa nimuanzeje?

    Atakua na mafua....[emoji12] [emoji12]
Back
Top Bottom