Recent content by Baba mwenye Nyumba

  1. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    We wacha ujinga na upuuzi, sasa ni kitu gani cha ajabu ama kizuri cha kujifunza kutokana na hicho kibuyu cha maji sijui ni libakuli? Labda tushangae bei kuwa juu na ilhali zipo nchi zimejenga viwanja vya michezo mikubwa inayobeba watu wengi kwa bei ndogo kuliko hicho kibuyu. Value for money vs...
  2. Baba mwenye Nyumba

  3. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bro, you need to heal, go for mental health interventions before it's due for something sinister. Heal from all these issues affecting your positive mental attitude, see things coherently sio kurusha maneno kama tupo kijiwe nongwa. Peace my brother.
  4. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Guys lets approach this issue positively kutumia maneno kama haya ya Kunya, sio poa. Let's use this forum to engage positively and learn tukianza matusi hakuna jambo la maana litatokana na hii challenge.
  5. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hili ni ngumi ya umeme wa kasi kwenye mipango miji wa Nairobi ama niseme Kenya, hapa JK alipiga bingo though the system is undergoing some managarial challenges.
  6. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    My brother, let's look at this challenge positively not in a way of just making ourselves happy with things that ain't real, well i know you can't be good at everything. Great example is the BRT system, the Tanzanian despite management issus has nailed a hot rod into the heads of town planners...
  7. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi nili-sex na wanawake wawili

    Hahahahahaha kwa kweli hata mimi nimecheka sana, jamaa anaandika kama jinsi anavyozungumza kiuhalisia😂😂😂😂
  8. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini yatenguliwa

    Yaani huyu mtoa hoja kafilisika kimawazo, muda mwengine bora tu mtu ukae kimya badala ya kutoa hoja kisha uonekane nukta sufuri kichwani.
  9. Baba mwenye Nyumba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtembelea na kumjulia hali Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi aliyelazwa hospitalini

    Allah akujaaliye Mzee wetu huyu Mh. Raisi Mstaafu afya njema na kila lenye barka katika maisha yake, azidi kutuongoza sisi sote kwa busara na mwenye afya tele.
Back
Top Bottom