Recent content by Baba Mani

  1. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    Mkuu jikite na hoja co kushambulia mtu, watu wameanza kusajiliwa kwny mfumo wa makazi tangia 2022 before sensa....kama kuna mtu hakusajiliwa na yupo mjini basi ni bahti mbaya tu ama ndo wale wakaza fuvu kama wewe, jielimishe kwanza baadhi ya mambo, napa na heslb ni taasisi mbili tofauti zilizo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    NIDA haiwezi kuwa mbadala wa napa, mana nida hajui unaishi wapi, mi nakwambia napa ina uafadhali coz anayeweza kuupdate taarifa za napa ni mtendaji wa mtaa, sasa angalia mtiti wa kubadilisha taarifa za nida
  3. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    soma vizuri kabla ya kujibu, unachanganya madesa
  4. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    Kingine NIDA hawana location, wala relation
  5. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    nida haina location, taarifa za napa pia zipo online ukizitaka unarequest unatumiwa code kwny simu yako unatumiwa mzigo wako wote unausoma, kitu kingine hukijui ni kuwa anayeupdate taarifa za nida upo naye mtaani kwako, kitu chcht hakipo sawa unamfata tu mtendaji anakurekebishia..so mzee haupo sawa
  6. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    vyooote huvijui sawa, unashindwa kutumia public app ya napa ya kudownload tu playstore ili ujue namba yako ya nyumba??!
  7. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    hata kama hujasajiliwa, kutojua namba yako ya nyumba, jina la barabara unapoishi ni zaidi ya uzembe kwa mwanafunzi uliyemaliza form 6
  8. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Mtendaji anaidhinisha ombi moja moja
  9. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Ni kweli haiingii akilini ila inawezekana, nahisi wanacheki kwny mfumo kama Mtaa fulani Mtendaji kasajiliwa, kama hajasajiliwa wanafanya follow up wanamsajili...though ni kazi ya halmashauri, hata kusajili mtegemezi wa anwani ni kazi ya mtendaji wa mtaa ila kama ukiwapigia cm na ukaweza...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Ndvy ilivyo mzee, mana bila mtendaji huchomoki...ukishindwa kabisa chukua namba ya mtendaji wako ichome kwa watu wa napa, wanampigia simu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Hawa tuma namba zao kwa watu wa NAPA, wanapigiwa simu ili waingie kwny mafunzo ya asubuhi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    2. Watendaji wa kata na mitaa wanafundishwa kila siku saa 4 asbh, wananchi wanafundishwa kila siku saa 10 jioni, kila siku! Tangia tarehe 14 cjui ile...kila siku jamaa wana hizo sessions! 3. Namna sahihi ya kujua namba yako ya nyumba ni kutumia public app ya NAPA, bofya button ya jihudumie...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Si kweli kaka, hakuna sehemu unatakiwa kujua taarifa za mmiliki, labda kama ww hukusajiliwa mwanzo mana huu mfumo mara ya kwanza kwetu walipita mwaka 2022,baadhi walisajiliwa mi nlkw shule bado ckuchukuliwa taarifa, kama taarifa zako hazipo kwny mfumo ndo utatakiwa angalau useme namba ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    Halafu kingine kaka mkubwa, HESLB wanataka kujua wanufaika wa mkopo wanakaa wapi, NIDA taarifa zake zinaishia katani tu, ila NAPA kwa maelezo ya HESLB ni kwamba wana taarifa za mpaka location ya ulipo ww, mmiliki wa nyumba yako ama wategemezi wengine unaoishi nao....lengo la serikali ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    Kaka unacomplicatisha tu hili jambo kuliko uhalisia wake, taarifa pekee unazopaswa kukumbuka ni aidha namba ya simu ama NIDA no, co kingine, na hata kama utasahau hizo taarifa zote(kitu ambacho co rahisi) basi ukumbuke jina la mtaa wako, namba ya nyumba na jina la barabara....ambavyo vyote hivyo...
Back
Top Bottom