Hapa kwetu hapalipi kwani au ndo kukariri nje ni bora kuliko ndani kwako.
Kwa namna ulivyoandika unamaanisha jamaa wanaogopa kucheza nje ya Bongo,kitu ambacho sio kweli naamini wanaangalia mambo mengi ikiwemo maslahi.
Inabidi ujue Bongo pameshastawi kimpira,kingine huwezi kuwa na malengo...
Kuna vitu wakuu wetu wanaviwasilisha kwetu vinatia mashaka juu ya uwezo wao wa kutafsiri sheria na kama wanajua siku vikigeuka asitokee mtu kuwaonea huruma kama wafanyavyo sasa
Hatukuwahi kuwa na dada wa kazi home ila wa majirani walitusaidia sana kipindi cha balehe.Nakumbuka alimanusura bro apewe mke jamaa alisingizia hajawahi fanya chochote naye sababu mashine yake haifanyi kazi 😂😂😂 mpaka leo tukirudi kusalimia nyumbani mama yetu jirani ndio salamu yake
Yanga wasimamie msimamo wenye manufaa kwao sio kufanya kwa shinikizo la mtu ambaye amekuja katikati ya safari,anajifanya anauchungu na mchezaji kumbe anaajenda zake binafsi,anataka mchezaji aende sehemu atakayopiga pesa na Yanga wanataka wampeleke mchezaji ambapo wanatapiga pesa na ni sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.