.
Yaani umenigusa sana ndg kwa ujumbe wako mrefu kila nikiusoma unanivutia kushuka tu uzi mtamu kweli kweli yaani hujaacha kitu hapo...ila sio wachaga wote wwnye hizo tabia ni hulka ama makwazo kama ulivyoelezea pamoja sana
Hawa majamaa mama zetu wake zetu dada zetu walio wengi kwanza waongo...
Nadhani alikua anataka ushauri kama huu sasa apige kura toka kwenye maoni ya ushauri kisha achukue maamuzi,ila ushauri wangu aangalie anakosea wapi maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.