Recent content by Baba Kabunyee

  1. B

    PostGE2025 WanaCCM wengi tumefurahishwa na haya maandamano

    Tanzania mpya imezaliwa tarehe 29/10/2025. Kila mpenda haki amefurahi bila kujali yupo chama gani. Kwa CCM tumefurahi zaidi ila wengi hawataweza kuweka furaha zao wazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo unafiki. Mungu awabariki wote waliofanikisha maandamano. Ninawaombea kwa Mungu wote waliopoteza...
  2. B

    Kuzuia maandamano ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia. CCM idhibiti wanaoihujumu

    Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu chini. Ingawa CHADEMA nao walizingua kuja na kauli ya "Samia must go" , serikali ingetumia busara...
  3. B

    Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Wewe boya ungekuwa unaingiza hizo hela kwa mwezi usingekuja kutafuta watu wa kuwapiga kupitia mafunzo uchwara huko You Tube.
  4. B

    Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

    Huyu jamaa huwa ana amsha amsha kinyama. Sijajua kama atapata ushirikiano kwa Rais mwenzake.
  5. B

    Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

    Sasa wasipopanda shirika si litaendeshwa kwa hasara?
  6. B

    Jinsi nilivyoanza kuwa msomaji wa biblia

    KARATU, ARUSHA Mwaka 1996, Sikumbuki ilikuwa ni mwezi gani ila ninachokumbuka ilikuwa kwenye miezi ya kiangazi wakati kanisa la kisabato lilipoandaa mkutano mkubwa wa injili (effort) mjini Karatu mwaka 1996. Ninachokumbuka ni kuwa makanisa matatu ya kisabato yalishirikiana ambayo ni SDA Karatu...
Back
Top Bottom