Kwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba.
Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari naombeni mtupe ushauri wa jinsi mlivyofanya(mbinu) hadi kufanikisha kumiliki nyumba zenu.
NAOMBENI TUSHEE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.