Subaru Forester zote ulizozitaja hapo ni gari nzuri na ni rafiki kwa matumizi ya mazingira yetu
Kuhusu service hazina gharama ya wewe kushindwa kuifanyia
Ulaji wa mafuta kwa kipato chako unaweza kabisa mana zinakula kawaida
CHangamoto za kiufundi
Kuna changamoto za oil, mafundi waengi...
Kila siku unadikia simu zinavunja ndoa , sasa wewe kwa nn unachunguza simu ya mume wako ? Mwana kulitafuta mwana kulipata
Kingine shukuru sana mume wako anajali afya Yuko tayari kupima kabla ya mzagamuano
Ushauri: usiwe unashika simu ya mume wako Ione kama kituo Cha polisi
Wanaume wote ndo...
Michepuko inasaidia sana sio kwa wanaume tu hata kwa wanawake
Ndoa za sasa zimekuwa na mitihani mingi sana unakuta mwanamke anataka kumtawala mwanaume yeye ndo awe mfanya maamuzi kelele kila siku ,ukiomba dudu unapewa kwa masharti , sasa hapo ni Bora ukatafute kimchepuko chako unatoana...
Mmmm narenduuu ni shida nyingine , wanawake ni wababe sana, wanatabia ya kushindana na wanaume, wao mwanaume sio dili kwako
Japo wanapiga kazi balaaaaa ,
Mtoa mada Mimi naona umeshajibiwa ni haki wazazi kuwajibika na sio tatizo kabisa kwa wazazi kuchangia 80
Hoja ya walimu kutotimiza majukumu yao Haina mashiko: unajua jinsi walimu wanavyofanya kazi?
Unajua mwisho wa kazi ni saa ngap? Mimi ninaona huku mtaani wanafunzi wengi wanataka saa 11...
Kusafiri raha sana , kwanza unajifunza tamaduni za jamii mbalimbali , tunakutana na marafiki kibao , unajifunza vitu vingi
Tena hapo ukute una gari yako binafsi, Yani kambi popote
Mimi naona hapo ni hiyo 50,000. Sasa kama shule inafaulisha kwanza ni jambo la kumshukuru uongozi wa shule
Walimu sio wajinga , hawawezi toa adhabu bila kuwepo na kosa , kikubwa wazazi tuwe na moyo wa kumshukuru. Kazi wanayoifanya walimu ni kubwa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.