Mm ni ngumu kusimamia kutokana na majukim kwa hy nataka nimpe Uhuru wa kufany kz na awe na maleng kuw mwish wa siku atakuja kimilik
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpango wangu kufungua saloon 5 zenye gharama ya million mbili kila moja alafu nitafute wadada wanao jua kusuka na wapo serious na maisha kila mmoj nimkabiz saloon yk kwa siku wanipe 30000 ndani ya miezi 6 nawakabidhi saloon. baada ya miez 6 nitakuwa na Tsh 2,700,000 - toa mtaji million 10 nakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.