Recent content by Baba Halima

  1. Baba Halima

    Pub gani nzur jiji DSM, kuwe kwa kaiwaida tu sitaki habar ya masaki wala London external

    Duh noma sana. Kwani we upo api? kama upo karibu na ubungo nenda Zambezi, kama temeke nenda liquid,
  2. Baba Halima

    Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

    Hhaaahahaaaaa broh umetisha hadi mwaka wa fedha kama upo serikalini
  3. Baba Halima

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Babu,., Maisha si kama movie kama watu wengine wanavyofikiria. Eti sterling hauawi.., Yote yanawezekana (+or-) kama usipokuwa makini. Kuacha kazi inawezekana lakini hakikisha una source ya kipato cha kudumu hata kama ni kidogo (kipato halali e.g kama biashara basi ipo kihalali yaan inalipiwa...
Back
Top Bottom