Recent content by Baba Golden

  1. Baba Golden

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Bajeti za Mataifa ya Afrika Mashariki

    Hizo ni numbers tu Ukitaka kujua ni bajeti zinazovutia kwenye makaratasi tu rejea bajeti zilizopita for 3yrs uone utekelezaji wake ulifika hata 80%!?
  2. Baba Golden

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    Polesana omba Mungu akupe moyo wa ujasiri ili uweze kujipambania kipindi hiki kigumu naamini utavuka tu ikiwa utatambua thamani yako na kusudi la Mungu kwako. Kumbuka maisha sio kuajiriwa tu wapo waliojiajiri na wanaishi vema sana.
Back
Top Bottom