Ni wiki sasa imepita tangu Mtendaji kata alipochukua vifaa vyangu vya pool table kwa kosa la kufunguliwa kabla ya muda.
Lakini kila nikimfuata anadai hajisikii kunipa na atakapojisikia kufanya hivyo, atanitafuta yeye mwenyewe.
Je, mamlaka ya kisheria yanamtaka kufanya hivyo (kukaa na vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.