Recent content by BABA ERIZA

  1. B

    Wazazi wa jimbo la makambako wachangishwa michango kuandikisha watoto wao shule 2016

    Wanatozwa 40,000 kila mwanafunzi wakamkumbuka Mhema aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA aliwaahidi kuwatetea ili watoto wote wasome.
  2. B

    Zama Zetu: Kijarida cha Mabadiliko - KUJIPANGA KWA MAGUFULI

    Hili Taifa limelaniwa, maana kushabikia magufuli na kutoihitaji katiba ya waryoba ni ujuha uliokufuru..Huyu mwanakijiji ni bomu kwa vizazi vya Tanzania
  3. B

    Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Kupata TIN ya kampuni tu bila Lesseni Sh. ngapi??? niko Nje ya nchi ila ofisi ya Kampuni yangu yako jiji la Mwanza Nipe bei ya kuprocess iyo TIN na Muda wa Kuipata, jitaidi iwe affordable ili niwe tuwe mutual business partner. Nitumie kwenye johanes.marwa@yahoo.com
  4. B

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Wmekianzisha Ifakara Mkoani Morogoro
  5. B

    Anguko kuu la CCM laanzia Butiama jimbo jipya

    Mkono na CCM kwa miaka kumi walishindwa kuwasemea ndo maana UKAWA wako tayari kuwakilisha na kutatua changamoto kwa vitendo
  6. B

    Anguko kuu la CCM laanzia Butiama jimbo jipya

    Wanajukwaa, Ikiwa viongozi wakuu wa ukawa wako kwenye hatua za mwisho kumleta Rais anaesubiliwa na umma mzima wa Tanzania, wananchi jimbo la butiama na Mara kwa ujumla wameendelea kusema wazi wazi kuwa mabadiliko hayo ya kulikomboa taifa sasa yataanzia butiama, ambapo wengi wao wameshangazwa na...
  7. B

    Mauzauza uandikishaji wa vitambulisho vya taifa Ngara

    Hamduni ni Mnyarwanda, ameoa Mrundi, Elimu hana anajaribu kuchezea akili za watanzania, Ametunzwa na Watanzania akajisahau kuwa hawamjui ni Mnyarwanda. Dawa lake ni Kumkurenzizi tu
  8. B

    Mbunge Mkono kwa heri jimboni

    IWE ISIWE JIMBO HILI LIKIGAWANYWA KIJANA MARWA JOHANES MARATO ATASHINDA KWA KISHINDO BUTIAMA KWA KISHINDO KAMA CHADEMA/UKAWA ITAMSIMAMISHA KIJANA HUYU. Ndg; Wana Jamvi, Chadema imejiandaa vizuri kupata mrithi wa kiti cha ubunge Butiama, Ni msomi ambaye anaweza kuleta mapinduzi makubwa...
  9. B

    Mbunge Mkono kwa heri jimboni

    Ndg, wanajamvi NI KWELI MKONO HAWEZI KUSHINDA HATA KIDOGO ILA HATA YUSUPH KAZI KWA TAALUMA YAKE YA DARASA LA SABA, ULEVI ULIOPINDUKIA NA UWEZO WAKE MDOGO WA KUJENGA HOJA JUKWAANI HAWEZI KUPITISHWA NA CHADEMA, BUTIAMA INA WATIA NIA TAKRIBANI WATANO KWA TIKETI YA CHADEMA ILA MWENYE SIFA ZA...
  10. B

    Nimrod Mkono amuhonga Mwanri ili asilikate jimbo la Musoma Vijijini

    IWE ISIWE JIMBO HILI LIKIGAWANYWA KIJANA MARWA JOHANES MARATO ATASHINDA KWA KISHINDO BUTIAMA KWA KISHINDO KAMA CHADEMA/UKAWA ITAMSIMAMISHA KIJANA HUYU. Ndg; Wana Jamvi, Chadema imejiandaa vizuri kupata mrithi wa kiti cha ubunge Butiama, Ni msomi ambaye anaweza kuleta mapinduzi makubwa...
  11. B

    CHADEMA waanika uvundo wa BVR; 'mchezo' hatari wa NEC, Serikali na CCM

    wakati huu wa tz tuwe makini wasije kuwafanya kama kijana wa JKT ndg mgoba mnyaru wa watu CCM ni janga la kitaifa.
  12. B

    Neema ya wana Musoma vijini, kilio chao Mungu kakisikia

    Nimeamini mngu hamtupi mja wake! kazi kwenu wanamsoma mpokeeni kamanda wenuu!
  13. B

    M/kiti wa ACT-Tanzania mkoa Morogoro arudisha kadi ya ACT na kurudi CHADEMA

    Aliyekuwa m/kiti wa ACT-Tanzania mkoa Morogoro, Steven Dazza ametangaza kujiuzuru na kurudi CHADEMA na kutangaza kugombea ubunge jimbo la Morogoro Mjini.
  14. B

    Neema ya wana Musoma vijini, kilio chao Mungu kakisikia

    Huyo jama namfahamu tangu yupo chuo sua na bugando.arikua sipika wa wanafunzi chuo sua.
Back
Top Bottom