Tunza siri mengine tatua kama mwanaume !! Unampenda ,anakupenda fix her problems. Kuandika andika inadhihirisha jins ulivyo dhaifu na mvivu wa kufikiri!! Be a man my boy.
We tafuta meza masoko tofaut idad ambayo unaweza kuimudu!! Kisha safirisha uuze rejareja na mengine tafuta wafanyabiashara uwazie !! Kuwa name moyo wa uvumilivu utafanikiwa na usiangalie ni lini yataisha...(fight )
Naombeni ushauri na changamoto! Coz nataka nithubutu kwa kununua gari ndogo ya usafiri iitwayo (Hiace) ili nisafirishe watu maeneo to faut kama biashara.
Wapo waliotajirika na ambao hawajatajirika !! Ila kazi yao ni kukujenga ujitambue, ujue ni fursa gani inakufaa ulivyo,na kukumbusha kuwa unaweza fanya kitu ukithubutu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.