Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,235
Nyanya zilizomwagwa pale dumila mmh wakulima wamepata hasara bila shaka.... Poleni sasa nyanya zinauzwa bei chee sana
Na mwanza zinasoko sababu kunawakenya buhongwa wanalangua. Wenzetu uko wanaviwanda vya kutosha.Soko la nyanya lipo mwanza pande za Buhongwa!!jitahid upate updates za hilo eneo kama zitakidhi malengo yako uliyojiwekea baada ya kuuza