Recent content by BABA-D

  1. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Hii ni proof kuwa COVID19 ilikuwa mchongo
  2. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Nimefurahi saana aisee maana kama tungeshinda, kuna wapuuzi wangeanza kusema hizi ni jitihada za awamu ya sita
  3. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Polepole apuuzwe, tuliosoma naye tulimuita Polisi/Usalama

    Makaratasi yanayoitwa vyeti sio akili. Akili huwa ni wewe mwenyewe bila hayo makaratasi... Ushahidi ni namna ulivyoshindwa kujenga hoja yako ukiwa wewe kama wewe bila hayo makaratasi. Kimsingi hakuna chochote cha maana ulichoandika.
  4. BABA-D

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kupitia Amos Makalla Kuisimamisha Nchi Saa Tatu Na Nusu Usiku Huu. Jitahidini Kuwahi sehemu yoyote ile yenye Tv

    Sitaki watoto wangu waje kuwa kama huyu. Nitawapambania saaana
  5. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Mkusanyiko usio halali ni upi? Kwa kifungu gani? Hizi mbinu alitumia mkoloni pia kudhoofisha wapigania uhuru

    Nimegundua huwa tunafanya makosa mengi saana. Kwa mfano, ukoo wetu tulifanya kikao cha ukoo mwezi wa sita bila kibali. Kwa mujibu wa maelezo ya polisi kama nilimsikiliza vizuri maana yake tulifanya mkusanyiko usiokuwa halali. Kimsingi hata kukusanyika bar na rafiki zako inaweza kuwa mkusanyiko...
  6. BABA-D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bikra zipo nyingi sana huku pwani

    Mbona hata wanaopiga miguu yote wengi ni wa wani
  7. BABA-D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

    Umejaribu kuandika notes za theory. Practically ni tofauti mno
  8. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

    Nilitaka kusema hivyo hivyo.. Kutengeneza elfu 10 kwa siku maana yake ni kutengeneza 300k kwa mwezi. Itoshe tu kusema haya sio mafanikio
  9. BABA-D

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

    Ukiwa mtoto, unakuwa unavalishwa kasuruali kadogo. Ukiwa mkubwa , unakuwa unavaa suruali kubwa. Kimsingi kuvaa suruali kubwa baada ya kuwa mkubwa sio maendeleo.. Au nasema uongo ndugu zangu...
  10. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Maneno kama haya kwenye Hotuba ya Bajeti yalilenga nini?

    Yaani yslilenga kuhararisha kuwa yanayotokea sasa hivi
  11. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Hii picha ingetokea baada ya mkutano wa CHAUMMA Mwanza ningekubaliana na wewe
  12. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito na wa kina kwa hotuba ya Askofu Dkt. Gwajima

    Je? uchambuzi wako ni upi kuhusu watu wanatekwa bila watekaji kukamatwa?
  13. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

    Mimi binafsi siwezi kupigia kura CCM ya sasa
  14. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

    Au tukisajiri kama chama cha siasa
Back
Top Bottom