Recent content by Baba Caroline na Elon

  1. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimekuwa na addiction mbaya ya kula kwa watu

    Kijana wake wawili , una anza kula kwa bmdogo una malizia kwa bmkubwa😁😁 Usioe mke mmoja hiyo tabia huta acha
  2. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Watu wakishirikiana na Wanausamala wanakamata Bodaboda maeneo ya Kariakoo na kuomba rushwa

    Wewe unafahamu kazi ya boda boda mjini unavyo rahisisha shughuli, kama hufanyi biashara au Haina kazi unafanya kwa Dsm ni rahisi kusema hivyo
  3. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lipumba: 2020 nilifanya kampeni nchi nzima, nikachinjiwa Mbuzi lakini nilipata kura 0

    Eennhe ndiyo kura sio kula kama kula mbuzi tuna maanisha kura
  4. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Mkuu hutaelewa Hadi ufikiwe mlangoni kwako
  5. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Wakipiga mnada wewe utafaidika na Nini? Vipi kama mtoto wako au mzazi wako atekwe na kuuwa utajisikiaje ndugu. Nafikiri ni jambo linalo hitaji majibu, hata kama majibu ni magumu basi busara zitumike, nguvu huwa na mwisho. Unakumbuka Third law of motion inasema every action is equal but...
  6. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Tuache mihemuko mkuu , ushauri wako ni upo ili kujenga nchi yetu sote yenye amani
  7. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Ina hitaji uhistahimilifu mkubwa sana katika kutatua changamoto hii , hali itakuwa mbaya kuliko kipindi kingine chechote Na kwa sasa wakuu wa vyombo vya usalama wana kazi kubwa sana, kudeal na ishu za siasa ni very complicated.
  8. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Brenda Rupia: Taarifa rasmi Tundu Lissu amehamishiwa gereza la Ukonga, Heche anatarajiwa kufika Ukonga leo kwa ajili ya kumwona

    Ipo siku tuandae watu wa pande Mbili za mitandao ya kijamii wapinzani na wale ambao sio wapinzani , Kisha midahalo iwekwe mkoa kwa mkoa naamini wengi wanajificha kwenye blanketi la mitandao ya kijamii hawawezi kujitokeza
  9. Baba Caroline na Elon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi ni kufanya Jinai, njia ya No Election si sahihi

    Siku zote usipende kushindana na Taasisi kwa sababu hakuna Cha kupoteza labda Mrema atapotea kwenye ramani ya siasa natoa wiki moja tu
Back
Top Bottom