Natafuta nyumba mitaa ya kijitonyama iwe na rooms kuanzia mbili za kulala na iwe master mita ya umeme ya kujitegemea plz kwa mwenye msaada call me 0768570703
Asprin nadhan kuna hoja ambayo unayo na sijaijua. Kwan ni kosa kufanya kuchagua kwa mujibu wa ninachotaka? Je nafanya kwa kumpendeza mtu au nafanya ninavohitaji? Sioni mantiki ya kwann watu mnafanya kukurupuka ku comment non sense. I have choices brother.
Hahahah pengine bwana aspirin swala linalokukwaza ni neno mpya kama lilivyotumika. Lakini kuna concern moja tu katika ununuaj wa magari kwa hapa tanzania huwa tuna terminology za kugawa magari ktk makundi mawili kwa kuzingatia kuwa asilimia 95 ya magari yanayotembea hapa nchini yalinunuliwa...
Jumaa pengine unapaswa kujua market price ya rav 4. Ziko rav 4 models tatu na zote ni bei tofaut ya kwanza ni 12 to 14 zinaishia mwaka 99 kuanzia hapo ni toleo jingine ambalo ni hili na bei yake ni 25 to 27m afu kuna toleo la 2005 au new model hiyo ni mpaka 60m. Just for update jumaa
Wadau habari. Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba kuanzia viwili au vitatu vya kulala including master. Priority mbezi beach knyama au kawe. Napenda nyumba ambayo ni self apartment na umeme si wa kuchangia. Kwa mwenye msaada plz ni pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.