Soma tena utanielewa, mkataba umesainiwa 1987,so project zote zilisimama hapo hapo na sio 90s,mkataba hakusema project tu zisimame, mkataba ulisema " hakuna atakae ruhusiwa, kumiliki, kutengeneza au kujaribu aya makombora," kama ulikua nayo basi yote ulitakiwa uyaharibu japokua teknolojia unayo...