Recent content by Ba Razaack

  1. Ba Razaack

    JamiiForums Tanzania Athari za mazingira zinavyohitaji Elimu ya dharura

    Mabadiliko ya Hali ya hewa yanayotokana na athari za kimazingira yanayosababishwa na shughuli za kibinadamu. Shughuli hizo zinaathiri sana Hali ya hewa na kusababisha mvua kubwa kunyesha baadhi ya maeneo na maeneo Mengine kubaki makavu kabsaa Hivyo Elimu ya dharura inahitajika kuondoka na...
  2. Ba Razaack

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Kuna sehemu maelezo hujaelewa,,soma vizuri
  3. Ba Razaack

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

    Gaidi""(Muasi) na jihadi""(Pigania haki
  4. Ba Razaack

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshwaji wa mishahara ni uzembe wa watumishi au makusanyo kutokuwa ya kutosha

    Elewa andiko boss wangu,,,,ndo njia alochagua kama kipato chako
  5. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    Wazo zurii
  6. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    Hauko serious na unacho kiandika,,,,WhatsApp yupo online,,,nikimtumia SMS hajibu,,kwenye magroup anajibu SMS za watu,,Chakunifanya niende kwake zaidi ya kilometer 400 ili nikaombe urafiki au ,,,!!!???
  7. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    Ni kwel
  8. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    We acha tyu,,pesa hiiii
  9. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    Hajibu SMS wala kupokea cm
  10. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    Bado cjajua
  11. Ba Razaack

    JamiiForums Tanzania Scrub na maambukizo ya UKIMWI

    Scrub,,,,ndo agenda hapa mkuu,,mtu anapofanya mapenzi n mfano wa scrub,,,""kidonda tuciende huko saaana
  12. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    Soma heading uelewe boss
  13. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    N kwel
  14. Ba Razaack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Card ya harusi ilivyovunja urafiki wetu

    Habara wana JF, hope mpo poa. Ilikuwa mwaka 2016 rafiki yangu anaefanya kazi Jiji la Dodoma wilaya ya Kongwa alinitumia card ya harusi akiniomba kumpa support kwenye harusi yake kama ilivyo desturi ya Waungwana nilimsaidia huo mchango na kufanikisha hiyo harusi. Miaka miwili mbele yaani 2018...
Back
Top Bottom