Ba Razaack
Member
- Jun 15, 2020
- 31
- 41
Mabadiliko ya Hali ya hewa yanayotokana na athari za kimazingira yanayosababishwa na shughuli za kibinadamu.
Shughuli hizo zinaathiri sana Hali ya hewa na kusababisha mvua kubwa kunyesha baadhi ya maeneo na maeneo Mengine kubaki makavu kabsaa
Hivyo Elimu ya dharura inahitajika kuondoka na kadhia hiii