Kuna thread ya Tuntemeke na habar zake za ukanda na mikakat ya Mbowe na wabunge wa CCM kuungana..pamoja na ugeni wangu humu lakin wanafiki sura zao naanza kuziona. Safi sana CDM..MCC walijiandaa na mbinu zao za kizamaniii;wanaoafiki waseme ndio...(Jitu linakurupuka usingizin)ndiooo,wasioafiki...
Kimsingi anachosema mwandosya si kipya na kwamba wana CCM hawakijui.CCM kama chama kina misingi mizur ambayo kama ikisimamiwa chama hakina matatizo .Tatizo kuna kizazi kimekatiza katika miaka kumi na nane ya karibun kimeleta yoote haya tunayo yaona. wamejitoa akili na kufumbia macho kwa makusud...
TBC ni ya wale wale..mitambo yenyewe imenunuliwa kwa style zilezile za rada,ndege ya rais etc. Wafanyakaz nao wanaharufu ile ile iliozoeleka..wake chonjo 2015 wote wanapoteza ajira. V
Habar wadau. Nimeingia humu nikiamini kua wenyeji wote ni wazalendo wanaoipenda Tanzania na wako tayar kwa lolote ikiwa ni la lazima kuhakikisha nchi yetu inaenda sawa. Shida zinazotokana na kudidimia kwa hali ya maisha yetu ukilinganisha na rasilimali za nchi zinatakiwa ziwe kiuongo kwetu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.