Recent content by BA' NICK

  1. BA' NICK

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mdogo wangu yupo serengeti anataka kwenda same idara ya msingi kama kuna mtu anataka kuja huku anipigie 0754623199, 0763844430, 0683101438
  2. BA' NICK

    Afisa Elimu, Wilaya ya Mbinga, alistahili kufukuzwa kazi na sio kupewa Demotion

    Big up deo kwa ulaji huo hata mm nawaambia ukweli ingekuwa kuna visenti vya mmem vya kutosha ningenunua hadi gari tatizo vipo kidogo eti laki moja kwa robo mwaka, hata mtoa post akipewa ofis atakula tena zaid y Mr DEO
  3. BA' NICK

    Madaraka allowance kuanza kutolewa kwa wakuu wa shule kuanzia 2015

    Kumekuwa na tetesi kuwa kuanzia mwaka 2015 serikali itatoa posho ya madaraka allowance kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata endapo watakuwa na elimu stahiki. Yaani Mwl. Mkuu awe na Stashahada ya elimu huku MEK na Wakuu waa shule za Sekondari wakitakiwa wawe na Shahada. Mwenye...
  4. BA' NICK

    Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    AFADHALI WEWE MR. VENTURE KULIKO PAPTRIOT ANAETUKANA, ORDINARY DIPLOMA IN PRIMARY EDN NA DIPLOMA IN SEC EDN ZITATOLEWA KTK VYUO KWA ORDINARY DIP NI VILE VYUO VILIVYOKUA VIKITOA CERTIFICATE IN TEACHING [GRADE A] NA DSE ZITATOLEWA KTK VYUO VILE VILE VILIVYOKUA VIKITOA DIPLOMA. BINAFSI MI...
  5. BA' NICK

    Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    AHSANTE KWA KUTUITA MABWEGE, ILA SIKUSHNGAI MAANA UELEWA WAKO NDO UMEISHIA HAPO KAMA UNATAKA MATUSI NENDA FB SIO HUKU, HUKU TUNAKAA SISI WATU NA ELIMU ZETU, HPA TUNAONGEA KWA HOJA SIO MATUSI...
  6. BA' NICK

    Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    wadau tofautisheni kama ni form four atasoma ordinary diploma in primary education na kama ni form six atasoma diploma in secondary education!!!!! Nafikiri nimeliza ubishi
  7. BA' NICK

    Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

    ukioa askari au nesi ujue sio mkeo [U][]hayo unayajua wewe mbona hata mama wa nyumbani tunajipigia bilaa shida tena mchana mchana kweupe?????????????????????????????/
  8. BA' NICK

    Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

    [FUKUZA WASHENZI WOTE HASA WALE WANAOTUDAI RUSHWA MI WANANIKERA SANA HATA KOSA LA KUKUELEKEZA UKAREKEBISHE WANATAKA PESA ILI WAKAHONGANE VIZURI
  9. BA' NICK

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    huamini subiri mwezi des nikija huko ndo utaamini nilichoandika bahati nzuri nakuja nzega so itakuwa rahisi kwako kuamini
  10. BA' NICK

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Short cut inakubalika mi nimefanikiwa nilisota sana kutafuta wa kubadilishana nae nilipokoswa nikaoneshwa mkato nimepata
  11. BA' NICK

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Msingi ila nikipata hata sec nabadl kurugenzi
  12. BA' NICK

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wadau nipo SERENGETI MARA anaetaka kuja huku akitokea Nzega, Sengerema au Mwanza jiji anijulishe kupitia 0688819660 au 0754623199 au zachariamagige@gmail.com kama anatokea Mwanza Jiji atapata jiko dogo laa gesi kitanda na godoro la futi 5/6
  13. BA' NICK

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    uko idara gani? kuna rafiki yangu yupo idara ya sec
Back
Top Bottom