Recent content by ba cris

  1. ba cris

    Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Huwa nawaonaga maboya sana wanaogeneralize mambo kwa kutaja ukabila,sijui kabila hili ni hivi kabila like wako hivi ni USHAMBA WA KIWANGO CHA LAMI kwa dunia hii ya leo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ba cris

    Je, ni kweli kabisa kwamba 95% ya Wanawake ( akina Mama ) wanaocheza VICOBA wanawasaliti ile mbaya Wapenzi / Waume zao?

    Kama wanajazanaga ujinga eti mwanaume asikuendeshe si ndio mwanzo wa usaliti Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ba cris

    Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

    Ndio uanaume huo komaa,chamsingi mtoto wa kiume asikae kwako bila kazi ya kufanya Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ba cris

    USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

    GUYS HAMNAGA MTU ALIYEFAULU KWENYE MAPENZI ILA TU WAPO WALIOWEZA KUYAVUMILIA MAWIMBI YALIYOSABABISHWA NA MAPENZI,FANYA FUJO ZOTE,OA BIKRA AU GUBEGUBE MWISHO CHAMUHIMU KABISA UKITAKA AMANI UWE NA KIFUA NA JIANDAE KISAIKOLOJIA ANY TIME UNAWEZA KUFANYIWA USHENZI NA HIYO NI PART YA MAISHA. USIKU...
  5. ba cris

    Who is your best football commentator?

    SIMFAHAMU JINA ILA ALITANGAZA MECHI YA MSHINDI WA TATU WORLD CUP Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ba cris

    Raha ya wanawake "vibonge" inatoka wapi?

    Kuna chembamba kiliacha harufu geto wiki mbili nilipeleka mpaka mashuka dry cleaner lakini bado kiarufu ukikizoom kinakuja so sikubaliani na wewe
  7. ba cris

    Kama unatembea na mke wa mtu wewe ni mpumbavu

    kama je alikuwa demu wako kabla na anasema kakumiss ufanyeje ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ba cris

    Nakushangaa sana dada unayetembea kwa miguu hapa mjini

    ukiwa na mtazamo huo kinachofuata... utatoka kwenye lift utataka yako.. utahongwa ist utataka vanguard utatoka kwny kupanga room moja utataka upangiwe nyumba nzima.. utataka uhame uhame kigogo ukapangiwe masaki... utataka ubadilishe viwanja vya lunch upigie regency... utachoka bongo utake...
  9. ba cris

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Huwezi kumbadilisha kaka cha muhimu achana na huyo mwanamke hautakuwa na amani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ba cris

    Kama mke uliyemuoa hukumkuta bikra basi ulikuwa una roho ngumu sana

    kuoa demu asiye bikra utaishi kwa presha hilo liko wazi ni sawa na kuacha mji wako halafu urudi ukute mlango uko wazi halafu useme utalala kwa amani never Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ba cris

    Wanaume ni mambo gani yanawakera kutoka kwa wanawake wakati wa Sex!

    huwezi amini mengi yanayokera ni Yale ya kabla ya sex Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ba cris

    How do u know that ur daughter has started doing sex

    kuna mama alikuwa anamuingizia kisu cha mkate binti yake mpaka kaolewa bikra nasikia yule dada
  13. ba cris

    Kwanini wazazi wengi humpenda mtoto mmoja zaidi ya wengine?

    KWA UPANDE WANGU NI SAIKOLOJIA TU NATUMIA KUMUONYESHA KAMA NAMPENDA SANAA KULIKO WENGINE YULE MTOTO WANGU MREMBO WA KIKE ILI ANIZOEE ASIJE AKANISUMBUA KWENYE MAKUZI YAKE BUT KIUHALISIA NAWAPENDA WOTE SINA UPENDELEO UKIZINGATIA YULE MWINGINE NI WA KIUME NA NI FIRST BORN BAADAE AKIKUA ATAJUA TU...
  14. ba cris

    Bao ngapi umewahi kupiga katika historia yako ya mapenzi?

    Massa ma3 bao 9 huo ni ugonjwa
Back
Top Bottom