Recent content by ba-ba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

    Jamani Watanzania tufunguke vichwa kidogo; hivi jambo zito na kubwa kama hilo lisijulikane na vyombo mahsusi vya kiintelijensia hadi aandike huyo mwandishi?!!!! Muda wa propaganda mfu umeshapita kitambo; twendeni tukapige kura Jumapili kwa mustakabali wa nchi yetu; hizo article za kutishana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mke kawa mtaalam kitandani ghafla, ina maana gani?

    Love making is an art. Ndugu wala usihofu kwenye hilo; mtu unaweza kujifunza hata kwa kuelekezwa na mwenzako tu pia sidhani kama kuna mitindo ya kidunia au ya kimbinguni; kama amejua hivyo na una hofu kwa nini usimuulize kuondoa hofu yako? huyo si mkeo?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    Kwa nini uchaguzi wa mwaka huu kusimama mita 200 toka kituo cha kupigia kura iwe issue?!! Kwa nini hilo linahofiwa sana kama hakuna baya lolote? Jiongoze
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa ya CCM kushindwa urais imezidi kutanda mitaani

    Hakuna marefu yasiyo na ncha
Back
Top Bottom