Recent content by B49

  1. B49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani nisioe...!

    Basi olewa Ukishindwa Ku fight them join the
  2. B49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

    Kama unaona sister Anafaidi Nenda na wewe
  3. B49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

    Kama unaona sister Anafaidi Nenda na wewe
  4. B49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

    Hyo Kawaida mkuu mbona kila Mwanaume anaambiwaga hivo afu hivo mbona sio vya gentleman kusimulia
  5. B49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

    Hivi Huku Jamii forum mbona Niko miaka Mingi tangu kipind hiko naingia Kama guest mpk saiv nmekuwa member lkn simjui mtu kwamba huyu mwanamke huyu Mwanaume nyie wenzangu mnajuaje juaje
  6. B49

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

    mh wewe unasema wizaran yan mtaan unaweza kunyimwa hata Kazi ya kufyatua tofari
  7. B49

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

    Matatizo ya akili Pia yanaweza kusababishwa na kukosa ajira
  8. B49

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

    unaweza kumzuia mtu asijiue? Fikiri kabla ya kusema
  9. B49

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuvuta Bangi... Hii natamani iwe siku ya wavuta Bangi Duniani

    Wasomi wengi tu wanapenda mjani na wanaukubali Ila tatzo imeshajengeka kwenye Jamii kuwa mtu anayevuta bangi amelost na km hajalost wanamtabiria kuwa ata lost ndo sababu ya Watson kuukwepa mjani
  10. B49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    Nilitongoza mademu wa 3 pasipokujua kuwa ni marafiki sasa jion moja naenda kukutana na mmoja si akaja na wale Wangese wenzake wawili, shubamit Wanawake wale
  11. B49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somo kwa wanaume: Jinsi ya kumkomoa mdada anayeombaomba pesa kabla hajakupa mzigo

    Kweli aisee Mdada hata hamjafahamiana vizur ashaanza kukwambia unajua Simu yangu mbovu niwezeshe nipate ingine
  12. B49

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma masomo ya sayansi

    Ahsante kwa kunitukana na bwana mungu akulipe Sawa na utendavyo Sawa na unenavyo
  13. B49

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma masomo ya sayansi

    ahsa Ahsante kaka
  14. B49

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma masomo ya sayansi

    Ndo ivo ndugu yangu we km Una kazi Naomba baba hayo mengine tusameheane ni stress tu ndo zinatusumbua jobless
  15. B49

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma masomo ya sayansi

    OK Iko hivi kile kipindi nilipoweka ile post kuna kaz flan Nlikuwa nayo kuna sehemu nilikuwa nimevoluntia nilikuwa naenda Sku 3 kwa wiki na sasa siko tena hapo hivo nikipata kazi ntahudhuria Sku zote za Kazi
Back
Top Bottom