Natafuta kazi nimesoma masomo ya sayansi

Natafuta kazi nimesoma masomo ya sayansi

B49

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
75
Reaction score
119
Msaada Msaada
Mimi ni kijana mwenye Umri wa miaka 24 elimu yangu ni degree ya ualimu katika masomo ya chemistry na biology.
Naombeni mnipe kazi yoyote ili niishi maana naona baada ya kumaliza chuo my life become miserable day after day, life want me to bow down sasa hata pesa ya kula imekuwa shida.

Kazi ni kazi schagui kazi pia hata nikiwezeshwa mtaji wa biashara naweza kujikwamua na shida hizi

Nipo Daresalam
Ahsanteni
 
Mmmmmmh sasa mbona mkuu anaajiri masomo ya physics na mathematics naona biology na chemistry wapo wengi
Msaada Msaada
Mm ni kijana mwenye Umri wa miaka 24 elimu yangu ni degree ya ualimu katika masomo ya chemistry na biology.
Naombeni mnipe kazi yoyote ili Niishi maana naona Baada ya kumaliza chuo my life become miserable day after day, life want me to bow down.sasa hata pesa ya kula imekuwa shida.

Kazi ni kaz schagui kazi
pia hata nikiwezeshwa mtaji wa biashara naweza kujikwamua na shida hizi

Tatizo wewe unataka kufanya kazi alhamisi, ijumaa na jumamosi kutokana na excuse zako
 
Tatizo wewe unataka kufanya kazi alhamisi, ijumaa na jumamosi kutokana na excuse zako
No Kaka we km Una kazi we nipe tu mm ntafanya sku zote tan mpk wikiend wala hamna shida
 
Nyumbani ni dar au huko ulienda kwajili ya shule?
 
  • Thanks
Reactions: B49
We Kweli mkwepa kodi ndo maana huelewi kwamba maisha ya binadamu yanapokea mabadililko mda wowote sasa mm milepost Leo wewe Una fungua post yangu ya nyuma ili tu Nikujue unanijua Sana au Uko serious Sana na post za watu?
Tatizo nini? mbona umekua mkali hivyo?
 
  • Thanks
Reactions: B49
Nyumbani Dar

Sawa ila jaribu kuwa makini na majibu yako!
Unajua kwanini mkwepa kodi ameangalia post zako za nyuma?
Pengine alitaka akujue vizuri ili akupe dili Sasa kwa majibu hayo mdogo wangu nani atakusaidia?

Badilika hata sisi kaka zako tulisoma hizo biology Alaah
 
  • Thanks
Reactions: B49
We Kweli mkwepa kodi ndo maana huelewi kwamba maisha ya binadamu yanapokea mabadililko mda wowote sasa mm milepost Leo wewe Una fungua post yangu ya nyuma ili tu Nikujue unanijua Sana au Uko serious Sana na post za watu?
Dogo toa ufafanuzi acha ukorofi utakosa kazi shauri yako
 
Tatzo naona km jamaa maswali yake ya kuni kejeli hata nikimjibu haelewi anataka Tuanzishe malumbano
Tunapokua na shida huwa tunalazimika kuweka mikono nyuma!
Haijalishi nani atakukejeli!
Usipoteze focus yako ndipo utafanikiwa!
 
  • Thanks
Reactions: B49
Kidumu chama cha majambazi
Pole mdogo wangu
 
  • Thanks
Reactions: B49
Dogo toa ufafanuzi acha ukorofi utakosa kazi shauri yako
OK Iko hivi kile kipindi nilipoweka ile post kuna kaz flan Nlikuwa nayo kuna sehemu nilikuwa nimevoluntia nilikuwa naenda Sku 3 kwa wiki na sasa siko tena hapo hivo nikipata kazi ntahudhuria Sku zote za Kazi
 
Unaona sasa, hayo ndiyo majibu uliyotakiwa kutoa mapema
 
Back
Top Bottom