Recent content by b yaoman

  1. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mbuzi kutoka mnadani kwenda Dar

    Natarajia kubeba mbuzi 30
  2. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mbuzi kutoka mnadani kwenda Dar

    Habari za majukumu wakuu Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Nina 3m nje ya vifaa na pango
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Kwanini ungeenda na mbuzi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi

    Kwenu wapi boss
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Nachotaka kuahamu anakoipata namimi nikanunue uko uko
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Uyo winga
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    We mzee iko kipact kimoja 1200? Wakati mtaani iwanauza 1100 apa da Uko mkoa gani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    We mzee iko kipact kimoja 1200? Wakati mtaani iwanauza 1100 apa dar
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Nipo dar boss
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Ni halali au magendo ?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake
Back
Top Bottom