Recent content by B.kuchaga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma fani nyingine zaidi ya niliyonayo

    Toa free style kwanza
  2. B

    JamiiForums Tanzania vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

    Nasikia kuna vyuo wameshajaza fomu za ajira (ingawa kujaza sio kupata)- 2subiri mkuu, watatuchukua tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama yasemwayo yamo, mamlaka husika mnangoja nini?

    "Ajira za ualimu mwisho mwaka huu, labda wa sayansi"...Naam, ni uvumi ambao umeenea sana katika maeneo mbalimbali hasa vyuoni na kwenye social media mbalimbali. Ni nyepesi nyepesi ambazo sio tu zinaathiri saikolojia ya vijana wetu walioko vyuoni lakini pia watoto wa wakulima ambao kwa muda mrefu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Karibu xana nachingwea ndugu yangu,mimi ni mzaliwa na mkazi wa pale ila xaxa nipo mtwara /saut ,kama hutojali nicheki kwa 0653165750 kwa msaada wowote ikiwemo watu wa kukupokea stendi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafundisha masomo ya kiingereza na historia!

    Ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 26 ambaye natarajia kuhitimu shahada ya elimu katika chuo cha Saut mwez ujao. Ningependa kuomba nafasi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu katika shule yeyote iliyoko Tanzania mara tu baada ya kuhitimu masomo yaani (from july). Ahsanten...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na sura mpya, nachoka kabisa

    bado ni fununu!!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Young Killer anamaanisha nini?

    Ana ngoma inaitwa 'Umebadilika' amemshirikisha banana zoro, lakini jana nimesikia ngoma nyingine inaitwa '13' alowashirikisha fid q na belle9. Kama kweli hii ngoma ni mpya, mbona interval baina ya ngoma moja na nyingine ni ndogo? au hii ina maana gani kibiashara? Najua wapo wenye ujuz wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Nachingwea?

    Ni wilaya inayopatikana katika mkoa wa lindi ambayo kwa sasa inaongozwa na mbunge mh. Mathias Chikawe,wazir wa katiba na sheria katika serikaali yetu tukufu ya awamu ya nne iliyoko chini ya Prof.Kikwete.Kinachonisikitisha ni kwamba hali ya kiuchumi katika wilaya hii ni ngumu mno,hakuna masoko...
Back
Top Bottom