Recent content by B A

  1. B

    JamiiForums Tanzania Soko la mahindi

    wadau nawashukuruni hadi hapa tulipofikia,naendekea kukaribisha mawazo zaidi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Soko la mahindi

    Wadau habari za majukumu! naombeni mnisaidie mahali ambao lipo soko la uhakika la zao la mahindi Tanzania nisaidieni Nina magunia kama 500,na ikiwezekana nisaidieni taarifa mabali mbali toka huko mnakokaa Mimi Niko mkoa wa manyara wilaya ya mbulu.tafadhali sana katika hili na subiria mchango...
  3. B

    JamiiForums Tanzania ITV na Gwanda la CHADEMA.

    umeongapa mtangazaji hakuvaa khaki pamoja na kuwa naikubali chadema asimia zote.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    whatsoever name you gonna call our lovely dr.but sisi tunachanja mbuga
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    poor you not dr.slaa
  6. B

    JamiiForums Tanzania M4C- Operesheni Pamoja Daima leo kutikisa, Kigoma, Kagera, Arusha, Manyara, Mbeya na Njombe

    karibuni sana Manyara tunawahitaji sana
  7. B

    JamiiForums Tanzania JK kutangaza baraza la Mawaziri kesho

    Mh. Rais chonde chonde mwiguli asiwe waziri wa mambo ya ndani maana huyo jamaa ni zaidi ya al kaida,kama vipi apewe wizara nyingine kama kuna umuhimu wa yeye kuwa waziri,hapo kwenye mambo ya ndani huyu mtu hatufai hata kidogo ni zaidi ya mzigo na jangu kama majanga mengine kwa Taifa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Madam SPIKA: Ningekuwa na uwezo ningependekeza Mwingine afe badala ya Mh. Mgimwa

    unaonaje mapendekezo hayo kama yagewezekana ww ungekuwa wakwenda badala ya hao uliowataja.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    shit! Imeishia hapa dahh.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    nami pia nakupa LIKE kubwa mkuu!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    bila kuzingatia ushabiki wa kisiasa Mbowe Freeman ni jembe kwa hili.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Dr slaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

    safi sana! idea nzuri,ikitokea hivi basi dhana ya uchaga na ukanda imekwisha ondolewa..
  14. B

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Piga kura ya ndio au hapana juu ya hatma ya zitto chadema hapa.

    leteni nyuzi zenye tija,haya waachieni wavidole juu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Imekuwa muda mrefu sana ccm ikiwa inatabiri anguko la chadema kabla ya 2015 hali sivyo wa dhanivyo wa wana chama wa ccm,ukweli ni kuwa chadema iko juu kinyume na wadhanivyo ccm na washabiki wao,hii ndiyo sababu wale wa lumumba wanaumiza vichwa kwani hawafanikiwa kwa kazi wanazotumwa na...
Back
Top Bottom